10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

awe mtumishi wenu”. Mathayo20:27.❏GIZA<strong>LA</strong>ENDELEAKUENDELEA kwa karnenyingi kukashuhudiakuongezeka kwa makosayaliyotolewa kutoka Rumi. Hata kablaya kusimamishwa kwa Upapa,mafundisho ya walimu wa kishenziyalikuwa yamekubalika kwa kuingizamfuto kanisani. Wengi waliodai kuwawameogoka pia walikuwawanaendelea kushikilia mafundishoya walimu wa kishenzi, nahawakuendelea na mafundisho yakehao wenyewe, waliwasukumiawengine kama njia ya kuendelezamvuto wao kati ya wasioamini.Makosa makubwa yakaingizwa ndaniya imani ya Wakristo. Ya mbele mbelekati ya hayo ilikuwa ni imani juu yakutokufa kwa mtu wa asili na yeyekujifahamu akiwa angali amekufa.Fundisho hili likaweka msingi ambaoRumi ilisimamisha mafundisho kuhususala za watakatifu na kumuabuduBikira Mariamu. Ambapo kutokana nahili kukatokea pia uzushi kuhusukuteketezwa milele kwa wasio tubu,ambao mwanzo yalishirikishwa katikaimani ya kipapa.Basi njia ikaandaliwa kwakuingizwa kwa uvumbuzi mwinginezaidi wa kanisa la kishenzi, ambayeRumi iliuita mahali pa ahera, nakufanya kuwa tisho kwa wajinga naumati wa wachawi. Kwa zushi huu nihakikisho la kuwepo kwa pahali pakuteke-tezwa, ambapo roho za waleambao hawajapata laana ya milelewangepata mateso kwa ajili ya dhambizao, na kutokana hapo, wanapowekwa huru kutoka kwa uchafu wao,huruhusiwa kuenda mbinguni.Mali ya UjanjaNA TENA uvumbizi mwingineungelihitajika ili kuiwezeshaRumi kujipatia faida kutoka na hofu naufisadi wa waumini wake. Hili pialilichangiwa kutokana na fundisho la“Papa si mwakilishi tu wakristo yesu, bali ni yesu kristoaliyefichwa ndani ya vazi lamwili.” The Catholic NationalJulai, 1895.kujifurahisha. Ondoleo la dhambikamili, zilizopita, na za leo, na hatawakati ujao, na kufunguliwa kwamaumivu yote yaliahidiwa, kwa walewote wangejiorodhesha katika vita vyaaskofu katika kueneza milki yake yamuda, kwa kuwatesa maadui zake, aukuwafutilia mbali maadui wake wakidini. Watu pia walifunza ya kwambakwa malipo ya pesa kwa kanisawangejifungua wen-yewe kutokadhambini, na pia kuwafungua roho zamarafiki zao waliokufa ambaowamefungwa ndani ya moto uwakao.Kwa pesa hizo Rumi ikajijaziamasanduku na ikadumisha ufahari,anasa, na ufisadi wa wale waakilishiwa yule asiyekuwa na mahali pakuweka kichwa chake.Muumbaji AliumbaAGIZO <strong>LA</strong> maandiko kuhusuPasaka ya Bwana lilikuwalimebadilishwa kwa kafara ya miunguya Misa. Makuhani wa Ki-papawakijifanya, kwa manongonezo yao yabure, ili kuugeuza mkate wa kawaidana divai kuwa “mwili na damu asili yaKristo”- Kadinali Wiseman, “Hali Halisiya Mwili na Damu ya Bwana WetuYesu Kristo katika Ushirika Mta-katifuwa Kikristo, Inaothibitishwa KwaMaandiko,” hotuba ya 8, sehemu ya.3, fungu la. 26. Pamoja na kiburi chamakufuru, wakatangaza wazi kuwa nauwezo wa kumuumba Mungu,Muumbaji wa vitu vyote. Wakristowalihitajika, kwa maumivu ya kifo,kukiri imani yao kwa huu uzushi wakuogofya, wa matukano kwa Mbinguni.Wengi wa watu waliokataawalitupwa kwa moto.5Mamilion ya WaliouwawaKATIKA karne ya kumi na tatundipo kuliposimamishwa kilechombo cha ajabu cha Kipapa-yaanibaraza kuu la kuhukumia wazushi wadini. Mfalme wa giza alitenda kazipamoja na viongozi wa serikali yakipapa. Katika baraza yao ya siriShetani na malaika wake walitawalamawazo ya watu waovu, huku malaikawa Mungu walisimama katikati yaobila kuonekana, wakichukua habari zakutisha za uwekaji nguvu sheria yaoovu na pia wakiandika historia yakutisha sana machoni pa wanadamu.Makundi ya waliouwawa wanamliliaMungu kuwalipizia kizazi juu yautawala huo wa kuasi.“Papa Yohana wa pilialiomba msamaha kwa vita katiya wakatoliki na waprotestantikule ulaya wakati wa kuzuiamatengenezo”. Habari kutokamarekani na habari za ulimwenguJulai 3, 1995.Hii na habari zingine kama hizina stakabadhi ya maungamoyasionyooka kwa jukumu lamamilioni ya wafia dini wakati ulewa zama za giza. Bibilia inatabirikuwa katika nyakati za taabu zilizombele yetu, upapa na wafuasiwake watakibilia tena nguvu zaserikali ili wawazuie wasiokubaliananao.Giza TotoroMAFUNDISHO ya kipapayalikuwa ya udhalimu kwaulimwegu. Wafalme na wenyemamlaka walikuwa wanatii sheria zaaskofu wa Kirumi. Maisha ya watu,wakati huo na umilele, yalionekanakuwa chini ya utawala wake. Kwamamia ya miaka mafundisho yaKirumi yameenea sana nakupokelewa bila swali, kanuni zakezimeadhimishwa na wote. Na wenyemamlaka Kani-sani wamesaidiwakwa ukarimu. Tangu zamani Kanisa laKirumi halikuwa limefikia kiwango chaheshima ya juu, fahari, au uwezokama huu.Maovu Yasiozuilika<strong>LA</strong>KINI “Adhuhuri ya Kipapailikuwa usiku wa manane waulimwengu.”- J.A. Wylie, Historia waWaprotestanti, book 1, ukurasa wa 4.Maandiko Matakatifu yalikuwa karibukutojulikana, sio tu kwa watu, bali kwamakuhani pia. Kama Wafarisaowazamani, viongozi wa Kipapawalichukia nuru ambayo ingeonyeshadhambi zao. Sheria za Mungu,ambazo ni kipimo cha haki, baada yakuodolewa, ndipo walipotumia nguvubila kikomo, na kufanya mambo yaufisadi bila kizuizi. Udanganyifu,tamaa, na mambo ya usheratizikashinda. Watu hawakujitengakatika kila tendo la uhalifu ambalolingewaletea utajiri au madaraka.Majumba ya askofu na upapayalikuwa na matendo ya upotovu yausherati. Baadhi ya maaskofuwaliokuwa wanatawala walikuwa nahatia ya uhalifu wa kuchukiza hataviongozi wa serikali wabaya sanawasioweza kuvumiliwa. Kwa muda wakarne nyingi Ulaya haikufanyamaendeleo katika elimu, ufundi, auutamaduni. Kudhoofika kimwili nakimawazo ilikuwa imeanguka juu yaulimwengu wa Wakristo.Wageuzi wa MafundishoWakataa<strong>KWA</strong> KUKOSEKANA kwa hekimaya Neno la Mungu ndiyo sababuiliyoruhusu Upapa kuta-walaulimwengu katika Zama za Giza.Karibu mwisho mwisho wa zama hizo,jinsi ufahamu wa Neno la Munguulianza kufunuka, watu walianzakuyapinga maovu yalioenena katikanyakati hizo. Hao WageuziWaprotestanti walirushia mbali pinguza maovu na uchawi yalionekana“Kwa kukiri imani iliyokinyume na kanisa la kirumi,historia inanakili watu zaidi yamilion moja waliouwawa”Muhtasari ya masomo ya Bibilia,ukurasa a 16.“Katika agosti 24, 1527wakatoliki wa kirumi katikaufaranza, kupitia kwa mpangouliotengenezwa chini yawanaojiita kuwa ni wa familia yakristo, wakawaua wakristowasiokubaliana na mafundishoya kirumi elfu sabini, kwa mudawa miezi miwili. Na papaakafurahi aliposikia habari yamatokeo.” Western Watchman,Nov. 21, 1912, (Catholic).

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!