10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

A<strong>LA</strong>MA YA MYAMAMNYAMA aliye na pembembili “Awafanya” [Kuamrisha]wote, wadogokwa wakubwa, na matajiri kwamaskini, na walio huru kwa watumwa,watiwe chapa katika mkono wao wakuume au katika vipaji vya nyuzo zao.Tena kwamba mtu awaye yoteasiweze kununua wala kuuza,isipokuwa ana chapa ile, yaani jina lamnyama yule au hesabu ya jina lake”ufunuo 13:16-17. Onyo la malaikawatatu ni mtu awaye yote akimsujuduhuyo mnyama na sanamu yake, nakuipokea chapa katika kipaji cha usowake, au katika mkono wake, yeyenaye atakunywa kwa mvinyo yaghadhabu ya Mungu” mnyamaambaye ametajwa katika habari hii,ambaye ibada yake italazimishwa namnyama mwenye pembe mbili, ni wakwanza au aliye na mfano wa chuimnyama wa ufunuo 13- upapa.“Alama ya mnyama” huakilisha tu haliya uprotestanti ambao umeasi ambaoutakuwa wakati makanisa yakiprotestanti yata-tafuta msaada wanguvu za kiserikali kwa kulazimishiawatu mafundisho yao. Alama yamnyama” bado haijatafsiriwa.Tofauti ya ibadaBAADA YA onyo juu yakumwabudu mnyama nasanamu yake unabii unasema. “Haowazishikao amri za Mungu, na imaniya yesu, Ufunuo 14: 12. kwa vile walewanaozishika amri za Mungu haohubainishwa pamoja na wale wanaomwabudu mnyama na sanamu yakena kupokea alama yake basi inafuataya kwamba, kwa kushika sheria zaMungu upande mwingine na kuzivunjakwa upande mwingine, kutofautishakati ya wanaom-wabudu Mungu nawale wamsujuduo mnyama.Tabia ya mnyamaTABIA ZA kipekee za yulemnyama basi na alama yake, nikuvunja amri za Mungu. Danieliasema kwa yule pembe ndogo.“Upapa:” Ataazimu kubadili wakati nasheria,”Danieli 7: 25 Na paulo nayeametafsiri nguvu hizo kama “mtu wakuasi” ambaye angejiinua juu yaMungu. Unabii moja ni mwisho waunabii mwingine. Ni kwa kuibadilisheria ya Mungu upapa ukapatakujiinua juu ya Mungu.Yeyoteawezaye kwa kuelewa kutunza sheriajinzi imebadilishwa ni kumpa heshimakuu uwezo huo ulioibadilisha. Kitendokama hicho cha kutii sheria za kipapani kama alama ya mapatano kwapapa katika pahali pa Mungu.Kusudi la shauriano katika badilikolimeonyeshwa: “ataazimu kubadilimajira na sheria” badiliko katika sheriaya nne hutimiza unabii kamili. Kwabadiliko hili ni mamlaka inayodaiwana kanisa. Hapa uwezo wa kipapaunajionyesha wazi juu ya Mungu.Utakatifu Wa JumamosiHUKU wanaomwabudu Munguwatakapokuwa wamebainishwakwa kuitunza sheria ya nne kwa vilehii ni ishara ya uwezo wa uumbaji nani ushahidi wa Mungu kwa madai yakejuu ya heshima na sujudu zamwanadamu wanao-mwabudu yulemnyama wataba-inishwa kwa juhudizao za kuhar-ibu ukumbusho wamuumba, kwa kuiinua sheria za Rumi.Ilikuwa ni kwa ajili ya jumapili ya upapaukaingiza madai yake ya kikaidi, najuhudi zake za kwanza za kutafutauwezo wa serikali, ilikuwa nikulazimisha pumziko katika siku yajumapili kama, “siku ya bwana”. LakiniBibilia huonyesha wazi hulenga sikuya saba, na siyo siku ya kwanza, kamasiku ya bwana“Basi mwana waadamu ndiye Bwana wa sabato pia”.Sheria ya nne inatangaza “Siku yasaba ni Sabato ya Bwana” Na kupitiakwa nabii isaya Bwana anatangaza“Siku ya Utakatifu wangu”. Mariko2:28; Isaya 58:13.Wakatoliki wa kirumi wana-kubaliya kwamba badiliko la Sabatolilifanywa na kanisa lao, nawanatangaza ya kwambawaprotestanti kwa kuitunza Jumapiliwanakubaliana na uwezo wake.Kama ishara ya mamlaka ya kanisakatoliki, wandishi wa kanisa la kirumiMarekani Yabadilisha Katiba — Yaidhinisha Sabato ya Upapa — Yaongea Kama Joka.11wanena “kitendo hicho chakuibadilisha Sabato kwenda jumapili,ambacho waprotestanti wanakubaliananacho kwa Sababu kwa kuitunzajumapili, wanakubali uweza wa kanisakwa kuchagua sherehe nakuwaamrisha hao chini ya dhambi.” -Henry Tuberville, an abridgment of thechristian doctrine, pg 58. Basi ninibadiliko la sabato, lakini ishara, aualama, ya mamlaka ya kaniza la kirumi- “Alama ya mayama” ?Kukataa BibliaKANISA la kirumi halijaachiliamadai yake ya utawala; nawakati ulimwengu na makanisa yakiprotestanti yatakubali sabato yake,huku wakiikataa Sabato ya bibilia,wanakubaliana na madai haya.Wanaweza kudai mamlaka yakidesturi na ya mababa zao kwakubadilisha; lakini kwa kufanya hivyowanapuuza maagizo ambayoyanawatenga kutoka Rumi yakwamba “bibilia ni bibilia pekee ndiodini ya waprotestanti.” Waf-uasi wakanisa la kirumi waweza kuona yakwamba wanajidanganya wenyewe,wakijipenda wenyewe kuyafunikamacho yao katika ukweli katika jambohili. Jinzi mwendo wa kulazimishajumapili utakapopata pendekezo,wafuasi wa kanisa la kirumiwatafurahia, wakijisikia kuhakikishiwakuwa mwishowe Rumi italetaulimwengu wa waprotestanti kuwachini ya Bandera ya Rumi.Kusujudu Mnyama<strong>LA</strong>KINI wakristo wa vizazivimeshapita walitunza jumapili,wakidhania ya kwamba kwa kufanyahivyo wanatunza Sabato ya Bibilia; na“Sisi, kama serikali ya kanisakatoliki ya kirumi, tunatarajiawatoto wote walio waaminifu kwakanisa kumsaidia Raisi kwa nguvuzetu zote kuona ya kwamba watubinafsi washirika wa mahakamakuu ya marekani wametii mashartiya Raisi. Na, ikiwezekana,tutabdilisha, rekebisha na hatakuondoa katiba ya sasa, ili Raisiaweza kupitisha yaliyo yake aumipango yetu ya kiutu na haki zoteza kibinadamu jinzi zimetolewa namtakatifu papa na kanisa takatifu.“Tulimchagua Raisi wetuanayefaa. Tutatengeneza sheriazetu na kuzipitisha kulingana nauongozi wa yule mtakatifu, napapa na sheria ya mamlaka yapapa. Mjengo huu wote ni mpakaujengwe upya katika msingi huu.Kanuni zetu za kielimu ni lazimazitafsiriwe mpaka mwisho iliukafiri, hatari ya mafundishomabaya, uprotestanti, ukomunisti,ujamaa na mengine yote kamahayo yataka-nyagwa na kurushwambali na inchi.” La Aura Magazine,Italian Baptist PublishingAssociation, Philadelphia, PA.sasa hivi kuna wakristo wa kwelikatika kila kanisa, bila kuacha mbaliushirika wa katoliki ya kirumi, waleambao huamini kabisa ya kwambajumapili ni sabato iliotengwa kando naMungu. Mungu hukubali unyofu waona msimamo wao mbele yake. Lakiniwakati Jumapili itakapopitishwakisheria na ulimwengu kuangaziwakuhusu umuhimu wa Sabato ya kweli,basi ye yote atakayevunja sheria zaMungu kwa kukubali maagizo ambayohayana uwezo wowote isipokuwa tuhuo wa Rumi basi yeye atakuwaanauheshimu upapa kuliko Mungu.Anatoa heshima kwa Rumi na kwauwezo ambao unaolazimisha sheriaza Rumi. Yeye anaabudu yulemnyama na sanamu yake. Jinsi watuwatakavyokataa maagizo ya Bwanaambayo ametangaza kuwa ni isharaya mamlaka yake, na badala yakekuiheshimu ile ambayo Rumiimechagua kama msemo wa utawala

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!