10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

“Ya kwamba kanisa lakirumi limemwaga damuisiyo na hatia kuliko kanisalolote ambalo limewahikuweko katikati yamwadamu.” W.E.H. Lecky.Historia ya kuinuka na mvutowa elimu ya binadamu kuleuroba sehemu ya 2 kuraza ya62, 1910.Ni kisio hesabu ya vifo40,000 vya wakristo ambaohuwawa kila mwaka wakatiupapa huwepo, Historia yaKirumi, kurasa za 541-542.Amejaribu kubadili amri ya pekeekatika sheria za Mungu ambayodhahiri inawaelekeza watu kwaMungu wa kweli aishie. Katika sheriaya nne, Mungu amedhihirishwa kamaMuumbaji wa mbingu na nchi,na hivyo“Kwa kichwa cha mfalme wa mjimkuu wa vatikani na kile cha kanisakatoliki la kirumi, karoi wojtyla (yaanipapa yohana) ajadilia namna yauwezo ambao ungegawanywa kati yawanabiashara katika mambo yaulimwengu.” Kweli kanisa lakelilikuwa na waongovu nusu zaidi yamilioni 907 ambao ni karibu asilimiakumi na nane ya watu katikaulimwengu wa sasa. Alikuwa namakuhani 483, 488 na karibumaaskofu watukufu 3,000 watumikiaovituo vya makuhani 211, 156 ambayovinaunda majimbo 1,920 duniani namajimbo makubwa 513. Shirika lakela Muungano limejumulisha shule zamisingi, vyuo vikuu, majengo yauchuuguzi, vituo vya sayansi namatibabu kwa watu wote,mahospitali, nyumba za watawamakanisa, makanisa makuu yamajimbo ya askofu, makanisamadogo, vituo vya kidini, majumba yaubalozi, majumba ya kuhifadhi hati natarehe, maktaba, sanaa, magazeti.Bohari, majumba ya uchapishaji,vituo vya redio na televisheni. Kwahakika tena, Anashikilia Benki yakemwenyewe ya vatikani, pamoja nakundi lake la washauri wa kimataifawanaohudumia katika farada ya baruakatika mashamba na akiba ndani yakila sehemu ya ulimwengu wabiashara na uchumi. Keys of thisBlood, kurasa 111, M. Martino.basi kubainishwa kutoka miungumingine ya uongo. Ilikuwa ni yakumbukumbu ya kazi ya Umbaji ili sikuya pumziko kwa mwana-damu. Ilikuwani kusudi la mhifadhi Mungu aishiedaima katika mawazo ya watu kamamuumbaji wa viumbe vyote naanayefaa heshima na lbada. Shetanihupigana vita kuwageuza watu kutokakwa utiifu wao kwa Mungu, na piawanapoonyesha utiifu kwa sheriaZake; hivyo basi anaelekeza juhudizake hasa juu ya sheria inaonyeshaMungu kama Muumbaji.Madhehebu ya Waprotestantiyanasisitiza kuwa kufufuka kwa Kristokatika siku ya Jumapili ndio ilifanya sikuhiyo kuwa Sabato ya Wakristo. Lakinihapo hakuna ushahidi wa Maandiko.Kristo hakutoa heshima kwa siku hiyowala wanafunzi Wake pia.KUTAWAZWA kwa Kanisa laKirumi kwa mamlaka ndiyoulikuwa mwanzo wa Zamaza Giza. Jinzi nguvu zakezilivyoongezeka, giza ikaongezeka.Imani ikahamishwa kutoka kwa Kristo,ambaye ni msingi wa kweli, mpakakwa papa wa Kirumi. Badala yakumtumainia mwana wa mungu kwamsamaha wa dhambi na wokovu wamilele, watu wakamuangalia papa, namakuhani na maaskofu ambao papaaliwapa uwezo huo. Walifunzwa yakwamba papa ndiye mpatanishi waohapa dunia na hakuna mtuangemkaribia Mungu ila kupitiakwake; na, zaidi hasa, kwa kusimamapahali pa Mungu kwa ajili yaoangepaswa kuabudiwa kikamilifu.Kujitenga kutoka kwa maagizo yakeilikuwa sababu ya kutosha kwamateso makali ambayoyangewaangukia miili na roho yawaasi. Kwa hivyo mawazo ya watuyakageuzwa kutoka kwa Mungu hadianayeanguka, wakosaji, na wakatili,hasa na, zaidi, kwa mkuu wa gizamwenyewe, ambaye huonyeshanguvu zake. Dhambi ikafunikwa katikanguo ya utakatifu. Wakati Maandikoyanapokanyagiwa, na mwana-damukujifanya kuwa kama Mungu, twahitajikutazamia tu ulaghai, udanganyifu, nauasi wa ufisadi. Kwa kuinuliwa kwa4Toka Rumi ya Kishenzi HadiRumi ya KipapaKATIKA karne ya kumi na sitautawala wa Kipapa ulikuwaumesimama imara. Na askofu waRumi akatangazwa kuwa kichwa chakanisa kwa jumla. Dini ya Kishenziilitoa nafasi kwa Upapa. Yule jokaalikuwa amempa myama “nguvuzake, na kiti chake cha enzi, nauwezo mwingi.” Ufunuo 13:2. Nahapo ndipo ikaanza ile miaka 1260ya mateso ya kipapa iliotabiriwakatika unabii wa Danieli na Ufunuo.Danieli 7:25; Ufunuo 13:5-7.Wakristo walilazimishwa kuachaunyofu wao na kukubali sherehe zakipapa na ibada, au sivyo kuyaharibumaisha yao katika gereza amakuuwawa kwa kutundikwa, aukutundikwa kwa miti, au kwasheria za mwanadamu na desturiilidhiihirisha uharibifu ambao hutokeakwa kuweka kando sheria ya Mungu.Siku za HatariSIKU HIZO zilikuwa siku za hatarikwa kanisa la Kristo. Injili ikawaimepotea, lakini desturi za kidinizikawa zimeongezeka, na watuwakawa wameleweshwa na kodi zaudhalimu. Hawakufunzwa tu juu yakumwangalia papa kama mpatanishi,bali kutegemea kazi zao kwamsamaha wa dhambi. Misafaramirefu, matendo ya kutubu, ujenzi wamakanisa, na sanduku ya mifupa yawafu, na madhabahu, malipo ya pesanyingi kwa kanisa hiyo na mengineyafananayo na hayo matendoyaliunganishwa ili kutuliza hasira yaMungu au kupata pendekezo lake;kana kwamba Mungu ni kamawanadamu, wa kukasirishwa kwamambo ya mchezo, au kufanya amanikwa zawadi ama matendo ya toba!Giza likaonekana likikuwa sana.Kuabudu sanamu ikawa kitu chakawaida. Mishumaa ikawashwa mbeleya sanamu, na maombi ikatolewa kwahizo sanamu. Desturi za upuzi na zauchawi zikashinda. Mawazo ya watuyakawa yametawaliwa na mambo yawachawi hivi kwamba fahamu za watuzikawapotea. Huku makuhani nakuuwawa na shoka. Ndipo sasaikatimia maneno ya Yesu: “Nanyimtasalitiwa na wazazi wenu, nandugu zenu, na jamaa yenu, na rafikizenu; na watawafisha baadhi yenu.Nanyi mtachukiwa na watu wote kwaajili ya jina langu.” Luke 21:16-17. Namateso yakaenea kwa watakatifukwa hasira nyingi kuliko hapo awali,na ulimwengu ukawa kiwanjakikubwa cha vita. Kwa mamia yamiaka kanisa la Kristo lilipata kimbiliokatika mafichoni na mahali penyegiza. Basi asema nabii: “Yulemwanamke akakimbia nyikani,ambapo ana mahali iliotayarishwa naMungu, ili wamlishe huku muda wasiku elfu na mia mbili na sitini.”Ufunuo 12:6.❏ZAMA ZA GIZA ZAANZAmaskofu walikuwa wenye kupendaanasa, na waharibifu, ingetarajiwa tuya kwamba watu wanaowangalia haokwa uongozi nao pia wangezamishwandani ya ujinga na uasherati.Askofu Mwenye KiburiHATUA nyingine ndani yamajivuno ya kipapaikachukiliwa, ambapo, katika karne yakumi na moja, Papa Gregory wa sabaalitangaza ukamilifu wa Kanisa laRumi. Kati ya maazimio ambayoalitangaza moja yapo ni ile ya kwambakanisa halijakosa, na halitaanguka,vile yanavyosema Maandiko. Lakiniushahidi wa Maandiko hauambatanina madai hayo. Askofu huyu mwenyekiburi alidai pia kuwa ana uwezo wakuondoa wafalme, na kutangaza yakwamba hakuna yeyoteatakayerudisha nyuma maamuzialiyoyatamka, lakini kwambaanamamlaka yake kuirudisha nyumamaazimio ya wengine wote.Ni tofauti ya namna gani kati yakiburi kingi cha huyu askofu mwenyekujiinua na upole na unyenyekefu waKristo, ambaye amejiwakilisha Yeyemwenyewe mlangoni pa moyo, iliYeye apate kuingia na kuleta samahana amani, na aliyewafunza wanafunziWake ya kwamba: “Na mtu ye yoteanayekuwa wa kwanza kwenu, na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!