10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kuelewa Pahali Rumi Inaongoza Yapaswa Tujue Historia yake ya Zamani.sheria.” Danieli 7:25. Jitihada hiihaikujaribiwa pole pole. Ili kujipatiawaumini kutoko kwa mataifa badilikola ibada ya sanamu, na hasa kuinuaUkristo wao wa jina tu, ibada yasanamu na makumbusho ya wafuiliingizwa pole pole katika ibada yaWakristo. Amri ya kamati kuumwishowe ikajenga utaratibu huu wauabuduaji wa sanamu. Ili kukamilishakazi hii ya kukufuru, Rumi ikawaziakuiondoa kutoka kwa sheria zamungu amri ya pili, inayokatazauabuduaji wa sanamu, na kugawanyaamri ya kumi, ili waendelee kuwa nahesabu kamili.Mapatano YaendeleaROHO WA kukubali mambo yakidunia iliendelea kufungua njiazaidi ya kupuuza uwezo wa Mbinguni.Shetani, akifanya kazi kupitia kwaviongozi waasi wa kanisa, wakaiharibupia sheria ya nne, na kuijaribu kuwekakando Sabato ya zamani, sikuambayo Mungu aliibariki na kutakasa(Mwanzo 2:2-3), na badala yakekuinua siku ya sherehe ilyokuwainatunzwa na mataifa kama “siku yaheshima ya juu.” Kwa mara ya kwanzabadiliko hili halikujaribiwa dhahiri.Katika karne za kwanza Sabato yakweli ilitunzwa na Wakristo wote.Walikuwa na wivu kwa heshima yaMungu, na, wakiwa na imani yakwamba sheria yake, ni imara, kwajuhudi wakatunza usafi wa maagizoyake. Lakini kwa ujanja mwingiShetani akafanya kazi kupitia kwawaakilishi wake ili kutimiza lengo lake.Ili mawazo ya watu yapate kuvutwakwa Jumapili, ikafanywa kuwa ni sikuya sherehe kwa kuheshimu ufufuo waKristo. Mikutano ya kidini ilifanywakatika siku hiyo; na huku siku hiyoilitunzwa kama siku ya burudiko, hukuSabato ikiendelea kutunzwa. Kwakuiandaa njia ya kazi yake alioipangakuikamilisha, Shetani kabla ya kurudikwa Kristo, alikuwa amewaongozaWayahudi, kuilemesha chini Sabatona maagizo magumu, kwa kuifanyautunzaji wake kuwa mzigo. Sasa, kwakuiichukulia nafasi ya nuru ile yaIUsiwe na Miungu mingine ila mimi.IIUsijifanyie sanamu ya kuchonga, walamfano wa kitu cho chote kilicho juumbinguni, wala kilicho chini duniani,wala kilicho majini chini ya dunia.Usivisujudie wala kuvitumikia; kwakuwa mimi, BWANA, Mungu wako, niMungu mwenye wivu; nawapatilizawana maovu ya baba zao, hata kizazicha tatu na cha nne cha wanichukioa,nami nawarehemu maelfu elfuwanipendao, na kuzishika amri zangu.IIIUsilitaje bure jina la BWANA, Munguwako, maana BWANA hatamhesabiakuwa hana hatia mtu alitajaye jina lakebure.IVIkumbuke siku ya Sabato uitakase. Sikusita fanya kazi, utende mambo yakoyote; lakini siku ya saba ni Sabato yaBWANA, Mungu wako siku hiyousifanye kazi yo yote, wewe, walamwana wako, wala binti yako, walamtumwa wako, wala mjakazi wako, walamnyama wako wa kufuga, wala mgeniuongo ile aliowafanya wengi kuiamini,akatoa dhihaka juu yake akasema etini sheria ya Wayahudi. Kwa kawaidaWakristo wanapoendelea kutunzaJumapili kama sherehe ya furaha,akawaongoza, ili apatekuwaonyesha uadui dhidi yaWayahudi, kwa kuifanya Sabatokuwa siku ya kufunga, huzuni nasiku ya utusitusi. ❏BADILIKOTHUBUTISheria za MUNGUMWANZO wa karne ya nnemfalme Costantinoaliipitisha sheria yakuifanya Jumapili kuwa ya shereheya wote katika enzi ya Kirumi. Siku yajua iliheshimiwa na wafuasi wakipagani na Wakristo pia; zilikuwa hilaza mfalme kuunganisha Wakristo.Alisukumwa kufanya hili na maaskofuwa kanisa, waliokuwa, na tamaa nakiu ya utawala, wakifikiria ya kwambaaliye ndani ya malango yako. Maana,kwa siku sita BWANA alifanye mbingu,na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo,akastarehe siku ya saba; kwa hiyoBWANA akaibarikia siku ya Sabatoakaitakasa.VWaheshimu baba yako na mama yako;siku zako zipate kuwa nyingi katika nchiupewayo na BWANA, Mungu wako.VIUsiueVIIUsiziniVIIUsiibeIXUsimshuhdie jirani yako uongoXUsiitamani nyumba ya jirani yako,usimtamani mke wa jirani yako; walamtumwa wake, wala mjakazi wake, walang’ombe wake, wala punda wake, walacho chote alicho nacho jirani yako.3Kutoka 20:3-17siku hiyo ikiabudiwa na wote Wakristona watu wa mataifa, ingeinuaukubaliaji wa Ukristo nusu ya upaganina kwa hivyo kuendeleza uwezo nautukufu wa kanisa. Lakini huku wengiwa Wakristo wacha-Munguwalisukumwa pole pole kuitakasaJumapili kama siku takatifu, na piawaliishikilia Sabato ya kweli kuwatakatifu kwa Bwana, na wakaitunzakulingana na utiifu wa amri ya nne.Mdanganyifu mkuu hakuwaamemaliza kazi yake. Alinuiakukusanya ulimwengu wa Wakristochini yake na kudhihirisha nguvu zakekupitia kwa huyo mdanganyifuanayedai kuwa mwakilishi wa Munguduniani, askofu huyo mwenye kiburianaye dai kuwa mwakilishi wa Kristo.Kupitia kwa wapagani walioongokanusu, maskofu wenye tamaa, na watuwa kanisa waupendao ulimwenguShetani akalikamilisha kusudi lake.Mikutano mikubwa ilifanywa mara kwamara, ambayo wakuu wa kanisawalikusanyika kutoka ulimwengu kote.Na katika kila kikao Sabato iliyowekwana Mungu ilishushwa chini kidogo,Sheria Ta munguiuvtobad na mwanadamuIMimi ndimi Bwana mungu wako. usiwe na miungumingine ila mimi.(Amri ya pili Imeondolewa)II (III)Usilitaje bure jina la Bwana mungu wako (hakika ni tatatu)III (IV)Uikumbuke kuitunza kwa utakatifu siku hii ta sabato (kwahakika ni ya nne, na sheria hii ya sabato imegeuzwakabisa)IV (V)Waheshimu baba na mama (hakika ni ya tano)V (VI)Usiue (kwa hakika ni ya sita).VI (VII)Usizini (kwa hakika ni ya saba).VII (VIII)Usiibe (hakika ni ya nane).VIII (IX)Usimshuhudie jirani yako uongo (kwa hakini ni ya tisa,sehemu ya kwanza)IX (Amri ya X sehemu ya kwanza)Usimtamani mke wa jirani yako (hakika ni ya kumi,sehemu yake ya kwanza)X (Amri ya X sehemu ya pili)Usitamani mali ya jirani yako (hakika ni ya kumi Sehemuyake ya pili)Katekisimu ya wakatoliki wote.huku Jumapili ikiinuliwa juu. Kwa hivyosiku ya sherehe ya kipagani ikajakutukuzwa na kuheshiwa kama sikutakatifu, huku Sabato ya Bibiliaikakanyagiwa chini kuwa mabaki yaWayahudi, na walioendelea kuiabuduwakatangazwa kuwa wamelaaniwa.Kuondolewa kwa Muhuri waMuumbajiMUASI MKUU alishinda kwakujiinua mwenyewe “kwa chochote kiitwacho Mungu, aukuabudiwa.” 2 Thesalonike 2:4.“Jumapili ni amri ya kikatoliki,na uabuduaji wake wawezakuhifadhiwa tu chini yamisingi ya kikatoliki.... tokamwanzo hadi mwisho wamaandiko hapana kurasa hatamoja inayodhihirisha badilikohili la ibada ya kila juma tokasiku ya mwisho ya kwanza”Chapa ya Katolika Sydney,Australia Agosti 1900.Sabato ilitunzwa na wakristo wote katika karne za kwanza.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!