19.05.2013 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

yule mtu ambaye amesomea mambo ya walimu na kuhitimu. Jambo kama hilo likifanyika, mambo ya elimu yataendelea vizuri.

Ama kama ni mambo ya, tuseme ni matibabu, hiyo kazi ikipatiwa mtu ambaye anajua mambo ya udaktari, vile vile itaendelea

vizuri. Haya, hilo ni pendekezo langu moja.

Kuhusu, ofisi ya Rais, vile vile, yule mtu ambaye anapatiwa kazi ya urais, kazi ya urais iwe inapatiwa mtu ambaye ana ujuzi, na

hasa mtuambaye anajua mambo ya uchumi,

kwa sababu, ikiwa mtu ataokotwa kutoka huko mashambani, mtu ambaye hana ujuzi kuhusu uchumi, halafu apatiwe hayo

mamlaka ya kuendeleza nchi, huyo mtu anaweza kutufanya tutaabike, kwa sababu atakuwa anatumia mali ya nchi bila mpango.

Vile vile, huyo mtu akipatiwa hiyo kazi, kama ni hii hali ya kufanya ziara, yaani, kuenda nje ya nchi, anafaa awe anaenda wakati

kuna sababu muhumu, yaani kwa upande mwingine, hizo ziara ziwe siyo nyingi. Jambo kama hilo likifanyika, hautakuwa na

taabu kama vile mambo yanaonekana sasa, sababu pale ambapo tumefikia wakati huu, Wakenya wengi sana wanaishi katika

hali ya umaskini mwingi sana.

Jambo lingine, ni kuwa kuna ukosefu wa kazi: Kuhusu okosefu wa kazi, vile vile hili ni jambo ambalo linaweza kutatuliwa na

kuna njia mbili au tatu ambazo naona zikizingatiwa, hiyo shida inaweza kutatuliwa kwa sababu watu ni wengi. Haya, siku hizi,

unaweza kupata mtu mmoja na awe amepatiwa kazi nyingi za kufanya. Kwa hivyo badala ya jambo kama hilo kuwa

linaendelea, hapa tunaweza kusema, one man one job, ama ikiwa hilo jambo halita tatua hilo tatizo, vile vile tunaweza kupatiana

kazi on - contract basis. Yaani, mtu anapatiwa kazi tuseme kama ni miaka mitano, halafu anaenda retire. Hapo atakuwa

amepata pesa ambazo atazitumia katika kuendesha maisha yake. Kuna kitu kingine ambacho hatuna budi kukifanya hapa

Kenya, ni kuhusu elimu. Bila elimu, hatuwezi tukapata maendeleo. Hivyo basi, ili kila Mkenya awe na uwezo wa kuelimisha

watoto, elimu inatakiwa kuwa ya bure haswa hii elimu ya msingi, mpaka elimu ya kidato cha nne, halafu kutoka hapo, huko juu,

tunaweza kuwa na cost-sharing.

Vile vile ili taifa lolote liweze kustawi ni lazima watu wawe na afya. Kwa hivyo kuhusu afya, Serikali inapaswa kusimamia

mambo ya afya kwa kila mtu, yaani kwa upande mwingine, madawa yawe yanapatikana. Yaani kila mwananchi awe na uwezo

wa kupata dawa akiwa mgonjwa kwa sababu pale ambapo tumefikia wakati huu, watu wanakufa, sio ati wanapatwa na

magonjwa ambayo hayawezi yakatibika, bali wanakufa kwa sababu wameingiliwa na umaskini kiasi cha kuwa ati mtu hawezi

kununua dawa ya malaria- Fansider – 60 shillings ni pesa nyingi sana kwa wananchi wengi wa Kenya, walio wengi.

Com. Lenaola: Last pont.

Karemu Samuel N’toinyirii: Last point, ni kuhusu utawala wa mikao. Kwangu hauna maana, kwa hivyo ufutiliwe mbali ama

kama utakuwepo, wale ambao wanafanya hiyo kazi wawe wanapigwa transfer, kama vile ambavyo mtu kama mwalimu

anapigwa transfer na hawa wengine.

10

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!