constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
21 ST MAY 2002

CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, IMENTI CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT GATIMBI

CATHOLIC CHURCH ON 21 ST MAY 2002

Present

Com. Isaac Lenaola

Com. Abdirizak Nunow

Secretariat in Attendance:

Solomon Anampiu - Programme Officer

Mary Kanyiha - Asst. Programme Officer

Patricia Mwangi - Verbatim Recorder

The meeting started at 9.30a.m. with Com. Isaac Lenaola chairing.

Com. Lenaola: Kabla hatujaanza, ningependa Father utuombee.

Father: Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Mungu Baba Mwenyezi tunakushukuru kwa hii siku ya leo

ambayo umetupa, tunakushukuru hasa kwa kutuamsha tukiwa na afya ya mwili na ya moyo, na kutukusanyisha hapa. Tuna

kushukuru kwa safari njema ambayo umepatia watu ambao wamesanyika hapa kutoka sehemu mbali mbali. Tunaomba baraka

zako. Tunavyoanza Kikao hiki, uwe pamoja nasi, utuongoze katika mambo ambayo tutakayo ongea, kuhusu Katiba yetu. Iwe

2