constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Another point, is on loans. Hii Serikali yetu ya Kenya, inapendelea sana kuleta mikopo. Mikopo ya chakula, wakati wa shida

tuseme, ningependa Serikali ichukue hatua ya kuwa, ikichukua mikopo, there must be something which is being established.

Instead of kulete mikopo, tuseme kama ni ukosefu wa chakula, tupewe chakula na labda mwananchi wa kawaida hatapata kitu,

na shida haitaisha. Kwa hivyo, ningependekeza hivi, irrigation schemes, because najua in Kenya, our land is capable. Yaani

mashamba ya nchi ya Kenya iko na rotuba, kwa hivyo ningependeza nyikani, pande za Isiolo, Marsabit na kuendelea, si

mchanga ambao ni shida, lakini it is because there is no water there, or lack of reliable rainfall. Kwa hivyo, ningependekeza

mikopi hii inakuja in the name of food, iwe inaombwa, ama if the Parliament will sign for that or whoever will sign for that (a

mwenye ata – sign- for hiyo mkopo ikuje), awe aweanazingatia kile kinaweza saidia miaka na miaka, for example, Huko

nyikani kuna rotuba lakini hakuna maji. Hiyo misaada inakuja inafaaitengeneze some schemes, irrigation schemes huko, watu

wanapata maji ya kunyunyuzia huko.

My last point is that the period of being in remand should be reduced. Unaona watu wanakaa rumande wiki mbili. Labda

when my case will be final, labda nitawachiliwa kwenda nyumbani, lakini nimekaa rumande tuseme miezi miwili. Narudishwa

huko, na kukaa wiki mbili, nakuja kotini, nakataa kuitikia, narudishwa huko. Baadaye labda sitapatikana na makosa. I have

wasted a lot of time. Tuseme nilikuwa na kazi nafanya, ama tuseme there was an opportunity, may be nilikwa nafanya kazi

fulani, hiyo kazi nitaiacha na niende nikae rumande mwezi mmoja na sifanyi kitu huko. Nikija itanibidi nirudie ile shughuli

nilikuwa nayo, so I would suggest that the period ya kukaa rumande should be reduced from two weeks. Asante.

Com. Lenaola: Kuna swali, ngoja kidogo.

Com. Nunow: Lawrence, I would like you to clarify the last statement that you made, regarding the remand period. You said

it should be reduced from two weeks, to what? What would you consider to be the maximum period somebody should remain

in remand, if he has been convicted or released?

Lawrence: I would can suggest this, either three days or bond, awe na bond awe ana attend case akiwa huko.

Com Lenaola: Asante sana, Lawrence. Eliud Mbugwa Mburugu, Stephen Mburugu. Halafu Muthoni Muriithi ukiwa tayari.

Stephen Mburugu: My names are Stephen K. Mburugu. These are the points from Nduruma Location, Boshosi East

Division, Central Imenti Constituency in Meru Central District.

The points are many, but I will read afew. Coffee like any other crop, for example Tobacco, cotton etc should have their prices

controlled, according to their classes and grades. To allow the farmers get good money, some coffee reduction should be

minimized for example, county council sales, milling charges, coffee board sales deductions etc. National Coffee Leaders

should be elected from the societies to the national levels. Any coffee donations, like the ones which came from the Eropean

20