19.05.2013 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

zinatambulikana.

Jambo lingine, naonelea ya kwamba hakupaswi kuwa na nominated MPs kwa maana kama nominated MPs watakuweko,

watakuwa wanashugulikia maslahi ya yule ambaye amem-nominate, au chama, kwa hivyo hatakwa anashugulikia nchi nzima;

kwa hivyo yanafaa awe elected MP sio nominated. Hiyo nafasi naonelea ya kwamba isiweko.

Com. Lenaola: Last two points.

Peter Kiambi: Hapa ni upande wa vijana. Ningeonelea ni vizuri kama Constitution ama Katiba itakuwa na mpango ule

ambao Serikali itakuwa na mpango wa kuwaajiri vijana wale ambao wanaacha shule – school leavers. Tunafaa tuwe na

organization ile ambayo itakuwa funded by the Government, ambayo niya kuwasaidia vijana kama wanaji-organize, wana form

self help groups, wanafaidika, ili waweze kuanzisha miradi ya kujisaidia wenyewe.

Ya mwisho ni juu ya death, hii inaitwa basic rights. Hukumu ya kifo naonelea sio Nzuri kwa maana mwananchi anahaki ya

kuishi. Wakati mwananchi anapohukumiwa kifo, inakuwa sasa hakuna faida kwa Serikali na, hakuna faida kwa nchi. Kwa

hivyo kama watafungwa maisha, naonelewa atakuwa anasaidia, kwa maana atakuwa anatumika jela na atakuwa anasaidia

Serikali.

Hii ingine ni ya Security –Naonelea kuundwe chama ama kuwe na a body ile ambayo itakuwa inachunguza hawa polisi kwa

maana, wanahongwa na sasa inakuwa service ile wanafanyia wananchi sio ya kulipisha kwa maana nikiwa sina pesa pengine

mwananchi maskini anaenda ku-report case yake, pengine amepigwa, itakuwa haichukuliwi, na atakuwa anakaa tu, na sasa

mambo yake yataishia hapo.

Com. Lenaola: Thank you Kiambi.

Peter Kiambi: Sawa hayo mengine ni juu -------

Interjection Com. Lenaola: Utaandikisha tu, tutasoma don’t worry. Asante. Any question? Njoo ujiandikishe hapa. Wapi

Mzee Mrukunga, Councilor Solomon Mtungi, utamfuata.

Erastus Mrukunga: The Commissioners na wananchi. I am here to present my views to you Kenyans. I am Erastus

Mrukunga, Mzee of 70 years, former Councilor, Meru County Council – 1963. Mengi yamenipitia, kama wale wazee

wengine, au pia vijana. I pray God, sijui kama mliomba, lakini ikiwa hamukuomba, nitaomba.

Response: Tuliomba.

46

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!