19.05.2013 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ninawakaribisha, karibuni. Mjisikie mko nyambani. Hapa, hata wananchi nawashukuru na ninawakaribisha kwa kikao hiki.

Hapa tuna wanakamati ambao wameweza kufika. Tuna Elisha Kamani.

Elisha Kamani: Hamjamboni nyote.

Response: Hatujambo

Madam: Na Mrs. Mburugu Florence.

Mburugu Florence: Hamjambo.

Response: Hatujambo

Madam: Pia Councilor, anakuja. Huyu naye ni Councilor Solomon, kutoka Kibirishia. Hao ndio wanakamati, ambao

wameweza kufika. Coordinator naye ako hapa, Mr. Murii. Okay, asanteni. Mjisikie mko nyumbani, na mtoe maoni yenu bila

kuogopa, kwa sababu hii ni kazi yetu zote tunafanya. Asanteni.

Com. Lenaola: Asante sana Madam. Nitaanza na hapo. Kikao hiki ni Kikao huru. Hakuna kuogopa kutoa maoni, na

hakuna kuogopa kwamba baada ya mkutano utafuatwa ulizwe umesema nini. Kwa hivyo ukiwa hapa, zungumza yaliyo moyoni

mwako bila kuogopa kwamba kuna mtu atakuuliza baadaye. Kwa hivyo usiwe na wasi wasi kwamba ukiongea mambo ya

Chief, mambo ya Councilor, mambo ya Mjumbe, mambo ya President utaulizwa kwanini. Hamna sababu mtu kuuliza swali lo

lote. Kwa hivyo isiwe na wasi wasi kwamba pengine, mambo yako utaulizwa baadaye kwa nini umesema haya. Kwa hivyo,

uwe huru kabisa kutoa maoni yako.

Jambo la pili, uko na uhuru kuongea lugha yoyote. Ukitaka kuzungumza Kimeru, Kiswahili, Kiingereza, ile lugha ambayo

unasikia ni rahisi kwako, njoo ukazungumze kwa hiyo lugha.

Jambo la tatu, tutawapa wale ambao wako na barua, kama mmeandika memorandum, utapewa dakika tano, uaangaze tu.

Usije ukasome page kumi ya memorandum, kwa maana yote itasomwa baadaye. Kwa hivyo, njoo tu useme mambo kumi

ambayo ni muhimu kwa hiyo memorandum, halafu uketi, kwa maana uko na dakika ngapi, tano.

Kama huna memorandum, na ungependa kuzungumza, nitakupa dakika kumi. Useme yako ambayo uko nayo, moja kwa moja.

Tafadhali tusije tukatoa shida tu, kusema kwamba tuko na shida ya maji, tuko na shida ya barabara, tuko na shida ya elimu,

tuko na shida ya afya, na husemi ungependelea jambo gani lifanyike. Kwa hivyo, njoo na mapendekezo. Ukitoa shida, toa

pendekezo. Tumeelewana? Ukija, utakuja kuketi hapa, na ukazungumza. Ukisha maliza kuzungumza, utaenda pale kwa

4

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!