19.05.2013 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Serikali inafaa ione imewapatia wheel chairs. Nashukuru kwa maana saa imekwisha. Niko na memorandum yangu hapa

ambaye nimepatiana, – ambaye ni ya 17 pages na nafikiri mtachukua na muisome.

Com. Lenaola: Asante sana, tutaisoma page by page and letter by letter. Asante sana. Njoo ujiandikishe. Nilikuwa

nimemuita nani? – Fredrick Mbutura. Karibu Mzee. Halafu Joyce Muriuki yuko? Utamfuata.

Fredrick Mbutura: Asante bwana Chairman kwa kunipa nafasi hii ili nitoe maoni yangu. Maoni yangu ambayo natoa ni

yangu binafsi,

Com. Lenaola: Sema jina.

Fredrick Mbutura: Majina yangu ni Fredrick Mbutura. Maoni yangu ya kwanza ni kuhusu uchaguzi au election. Uchaghusi

ambayo nataja ni kuwa, – katika Kenya, tunachagua Rais, Mbunge, na hata Councilors kwa siku moja. Naonelea, kwa maoni

yangu, kuwe na siku tofauti. Rais awe anachaguliwa peke yake,na ma-councilors na MPs wawe na siku yao peke yao. Hii ni

kwa vile tunaona kuna mchanganyiko ambayo wengine hawaelewi. Wakati unachagua Rais, mwingine anaweka kura kwa

Mjumbe, au kwa MP au kwa Councilor, kwa hivyo, Rais anafaa awe anachaguliwa peke yake kwa siku yake, tofauti.

Naunga mkono, mambo ya urais. Rais hafai kuwa anapatiwa mamlaka makubwa yote, awe ndiye yuko juu ya sheria, kwa

sababu tunajua Mungu tu pekee yake, ndiye ako juu ya sheria. Kwa hivyo uwezo wa Rais ipunguzwe. Ukipunguzwa, mambo

mengine ambayo tunasema yanakaa hivi yanakaa vile, hayatakuweko kwa sababu hatakuwa na nguvu kama vile anateua

ma-Katibu, anateua ma-Justice, anateua ma-director wakubwa, managing Directors, na anachugua ma-Councilors, ambao

wote ni juu yake. Hatutaki hivi, katika Katiba ambaye itakayo kuja baadaye.

Kuhusu mambo ya kahawa, hata mimi nitagusia. Kwa sababu mimi ni mkulima wa kahawa. Ningali nalima kahawa, na hata

kuna wengine wanalima miwa. Katika kilimo ambacho ni cash crop, tunataka iwe mikononi ya wananchi wakulima wenyewe,

Sio iwe Serikali inaingia, iwe ni katika shirika la Serikali. Serikali vile tunavyofikiria, inaweza kuwa, itakuwa macho, kwa

sababu hata wananchi wanaweza kupatiwa, wakapata wanyama wengine wa kula huko, Kwa hivyo, Serikali iwe ni macho.

Kuhusu mashamba; mashamba ambayo tunayo ni haba, ni kidogo. Na kuna wengine hawana hata kitu kidogo hata mahali pa

kuzikwa wakati watakufa. Wengi wanakwenda hata Nairobi, wanaona wengine wanalala huko kwa varanda ya maduka. Vile

nasema, kuna watu wengine nao ma-settlers, ambao walichukua shamba kama ma-settler ambao walikuweko wakati wa

u-colony wanachukua yote. Mashamba hayo nataka yagawiwe wananchi ambao hawana mahali pa kukaa. Inaonekana kuwa

hata sasa, hata kama tuko na uhuru, ukoloni bada uko, kwa sababu mtu mmoja anaweza kuwa na maelfu ya ma-acre na

mwingine hana chochote.

Point ingine ni kuhusu mambo ya urithi. Nitaunga mkono wakina mama, sababu nasikia wanajitetea zaidi. Kweli katika urithi,

50

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!