Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
ado iko chini ya himaya ya mtawala wa Unguja na ilitambuliwa hivyo

na serikali ya Wadachi.

Katika mwaka 1889 palikuwa na mapigano baina ya Waarabu na

Wadachi. Waarabu walianza kutia mashaka kwamba kuingiliwa na

utawala wa Kidachi kungelikomesha biashara yao ya utumwa. Lakini

Waarabu walipigwa na kushikishwa adabu zao. Mwaka 1890, ile pwani

yenye upana wa maili kumi ilinunuliwa na Wadachi kutoka kwa

mtawala wa Unguja. Baadaye, mwaka 1905 wananchi walianza fujo

zao pia kwa jinsi utawala wa Kidachi ulivyokuwa wa kikatili mno (6).

Wananchi pia walishindwa mwaka 1906 katika vita ijulikanayo kwa

jina la ‘Vita ya Maji Maji’.

Baada ya Vita Kuu ya Kwanza, Uingereza iliitwaa nchi yetu kwa

idhini ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa siku hizo.

Baada ya Vita Kuu ya Pili, Waingereza walipewa mamlaka ya

kuitawala Tanganyika kwa mkataba wa Udhamini wa Umoja wa

Mataifa mpya.

Uchaguzi uliofanywa mwaka 1960 uliwapa wananchi idadi

kubwa zaidi ya Wajumbe wa Baraza la Kutunga Sheria, ambalo baadaye

lilianza kuitwa Baraza la Taifa. Mwezi Machi, 1961, Mkutano wa

Katiba ya Tanganyika ulifanywa mjini Dar es Salaam. Mkutano huo

ulikubali nchi yetu ipate Serikali ya Madaraka kamili kwa mambo ya

ndani tarehe 1 Mei, 1961 na uhuru wake kamili tarehe 28 Desemba,

1961. Baadaye tarehe ya kupata uhuru kamili ilibadilishwa na

ilikubaliwa kuwa nchi yetu iwe huru tarehe 9 Desemba, 1961. Waziri

mkuu wa kwanza wa Tanganyika Huru alikuwa ni Mheshimiwa Julius

K. Nyerere.

Лексико-грамматический комментарий к тексту №1

1. Локативная форма hapana соответствует настоящему

времени, хотя речь идет о событии в прошлом, и на русский язык

переводится глаголом в прошедшем времени: “не было никого, кто

поехал…”. Это помогает избежать сложных грамматических

конструкций, особенно в разговорной речи, поскольку достаточно

165