Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
zilizoandikwa juu ya mawe na miamba; rangi iliyotumiwa; wenyeji wa

asili; kabila lililoingizwa katika kabila jingine; -fanya makwao huko;

wazao wa watu; walisimamisha falme zao; watu wametengwa; bahari

ya Wabantu; alichungua sana habari za Wabantu; lugha zilizofanana;

lugha ya asili; walichanganyika na wenyeji.

Задание №4. Переделайте предложения, заменив

подчеркнутые глаголы неопределенно-личными конструкциями.

1. Wataalamu wanahofia kwamba wanyama wa porini wanaweza kutoweka

kabisa.

2. Wanadhani kwamba vitu hivi vinaweza kuleta faida kubwa.

3. Hatutaweza kuwinda katika mbuga hizi.

4. Mnajua kwamba uvutaji wa sigara umepigwa marufuku hapa.

5. Anafikiri kuwa mitihani itaanza mapema mwaka huu.

6. Wanahistoria walidai kwamba Wabantu wa kwanza walihamia nchi

hii zamani ya miaka 2000.

7. Wanasema kwamba mahali hapo palikuwa na msitu mnene.

8. Tunaamini kwamba watu wa taifa la Wabantu walikuwa wa kiamani.

9. Mkuu ametangaza kwamba safari yetu itaendelea kwa wiki moja tu.

10.Mababu walieleza kwamba zamani sana hapa palikuwa na ziwa lenye

kina kirefu sana.

Задание №5. Переведите, обратив внимание на подчеркнутые

выражения.

1.Мы купили в магазине хлеб, молоко, соль и много других

продуктов.

2.В заповеднике они видели слонов, жирафов и других

разнообразных зверей.

3.В саду его родителей растут апельсиновые деревья, банановые

пальмы и многие другие плодовые деревья.

4.Когда мы поедем в путешествие, мы посетим Найроби, Дар-эс-

Салаам, Кампалу и другие города Восточной Африки.

5.Она умеет петь, рисовать, шить и делать многое другое.

92