10.03.2014 Views

a socio-economic baseline assessment of the mnazi bay - IUCN

a socio-economic baseline assessment of the mnazi bay - IUCN

a socio-economic baseline assessment of the mnazi bay - IUCN

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

13. Tafadhali orodhesha shughuli zote ambazo wana-kaya wanazifanya kwa ajili ya kujikimu na

kwa faida zingine (kwa mwaka mzima). Andika kufuatana na umuhimu kwa kuweka namba 1

mpaka 7. Andika kwanza ile shughuli iliyo muhimu zaidi ikifuatiwa na zile ambazo zina umuhimu

kidogo (Tazama Kielelezo namba 1 hapo chini)

Shughuli

Umuhimu wa shughuli kwa

mahitaji ya kaya

Faida ni

pesa

Faida ni

Chakula

KIELELEZO NAMBA 1:

1 = Hii ni shughuli muhimu sana inayochangia karibu fedha au chakula zote zitumikazo

ndani ya kaya

7 = Hii sio shughuli muhimu sana. Kipato chake kinachangia fedha au chakula kidogo tu

kinachotumika ndani ya kaya

14. Je, Kaya hii, ina wafuatao:

Wavuvi (samaki, majongoo, kamba, pweza)

Mama wanaotanda

Wachokoaji wa makome

Wakulima wa mwani

Wachuuzi wa makome

Mama wachuuzi (dagaa, samaki, kamba,

pweza)

Wanaume wachuuzi wa samaki, kamba,

pweza

Wachuuzi wa majongoo

Idadi

Kama wapo wavuvi

andelea na maswali

(kama hawapo, maliza

dodoso).

SEHEMU C: Habari za wavuvi

15. (a) Wavuvi wa kaya hii, wana shughuli zingine pia ? N / H

(b) Kama ndio, ni shughuli gani ? ………………. …………………

16 (a). Wavuvi hawa wanatumia chombo? N / H (kama Hapana andelea

swali 17 )

(b). Kama Ndio:

Wana tumia chombo cha tajiri 1

Wanakodisha 2

Wanamiliki pamoja na 3

wenziwe

Wanamiliki yao peke yao 4

Alama

(i)

Chombo cha

ina gani

(ii)

Viumbo

vingapi

(iii)

ngapi

kwenye

ingini - (iv)

114

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!