31.01.2015 Views

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

67

5. Aina ya shule yako unayosoma

a) Ni ya serikali

b) Si ya serikali

6. Kidato unachosoma

a. Cha kwanza

b. Cha pili

c. Cha tatu

Kiwango cha utumiaji wa tumbaku

7. Je, ulishawahi kusikia mwanafunzi wa shule hii anabwia ugoro

a) Ndiyo

b) Hapana

8. Je, ulishawahi kuona mwanafunzi wa shule hii anabwia ugoro

a) Ndiyo

b) Hapana

9. Ni maelezo yapi ambayo yanakufaa wewe dhidi ya matumizi ya ugoro

a. Sijawahi kubwia ugoro hata kidogo

b. Nilishawahi kujaribu kubwia ugoro

c. Nilikuwa nabwia ugoro zamani lakini sasa nimeacha

d. Nabwia ugoro kwa kila juma

e. Nabwia ugoro kila siku

10. Kama unabwia ugoro kila siku, je ni mara ngapi kwa siku

a) Mara moja

b) Mara mbili

c) Zaidi ya mara tatu

11. Kama ungekuwa na ugoro wa kutosha kwa siku, je ungebwia mara ngapi kwa siku

a) Mara moja

b) Mara mbili

c) Zaidi ya mara tatu

12. Je, ulishawahi kusikia mwanafunzi wa shule hii anatafuna tumbaku

a) Ndiyo

b) Hapana

13. Je, ulishawahi kuona mwanafunzi wa shule hii anatafuna tumbaku

a) Ndiyo

b) Hapana

14. Ni maelezo yapi ambayo yanakufaa wewe dhidi ya utafunaji wa tumbaku

a. Sijawahi kutafuna tumbaku hata kidogo

b. Nilishawahi kujaribu kutafuna tumbaku

c. Nilikuwa natafuna tumbaku zamani lakini sasa nimeacha

d. Natafuna tumbaku kwa kila juma

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!