31.01.2015 Views

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

72

ii. Kujaribu au kuonja radha ya ugoro

iii. Kutokuelewa madhara ya kiafya yatokanayo na

kubwia ugoro

iv. Kutumia kilevi kama vile pombe

v. Mtazamo kuwa kubwia ugoro huondoa mawazo

vi. Kuishi na watu ambao ni watumiaji wa ugoro kama

vile wazazi na ndugu

vii. Matangazo yatolewayo na viwanda vya tumbaku

48. Wanafunzi wa shule za sekondari walioorodhesha vitu ambavyo waliamini vinaweza

kumzuia mtu asibwie ugoro. Ni kwa kiasi gani unafikiri vitu vifuatavyo vinaweza kumzuia mtu

asibwie ugoro (Weka alama V kwa kila jibu lako sahihi)

S/NO Vitu

Vilivyoorodheshwa

i. Kuelewa madhara yatokanayo na ubwiaji wa ugoro.

ii. Malezi mazuri kutoka kwa wazazi na walezi

iii. Kuishi katika jamii isiyopenda kubwia ugoro

iv. Mafundisho ya kidini

v. Harufu mbaya kutoka mdomoni

vi. Ugoro kuuzwa kwa bei ghali

Haizuii

kabisa

Haizuii Inazuia Inazuia

kabisa

49. Wanafunzi wa shule za sekondari walioorodhesha vitu walivyoamini humvutia mtu kuanza

kutafuna tumbaku. Ni kwa kiasi gani unakubali kuwa vitu hivi humvutia mtu kuanza kutafuna

tumbaku Weka alama V kwenye jibu lako sahihi).

S/NO Vitu vilivyoorodheshwa Sikubaliani kabisa Sikubaliani Nakubali

ana

i. Mvuto wa marafiki

ii. Kujaribu au kuonja radha ya tumbaku

iii. Kutokuelewa madhara ya kiafya

yatokanayo na utafunaji wa tumbaku

iv. Kutumia kilevi kama vile pombe

v. Mtazamo kuwa utafunaji wa tumbaku

huondoa mawazo

vi. Kuishi na watu ambao ni watafunaji wa

tumbaku kama vile wazazi na ndugu

vii. Matangazo yatolewayo na viwanda vya

tumbaku

Nakubaliana kabisa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!