DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf
DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf
DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
69

24. Mtu aliyevuta sigara kwa miaka mingi ana uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya kinywa

kuliko aliyevuta sigara kwa muda mfupi

a. Kweli

b. Si kweli

25. Mtu anayevuta sigara mfululizo ana uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya kinywa

kuliko anayevuta kwa kiasi

a. Kweli

b. Si kweli

26. Mvutaji wa sigara ana uwezekano mkubwa kupata magonjwa ya fizi kuliko asiyevuta

sigara

a. Kweli

b. Si kweli

27. Mtu aliyevuta sigara kwa miaka mingi ana uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya

fizi kuliko aliyevuta sigara kwa muda mfupi

a. Kweli

b. Si kweli

28. Mtu anayevuta sigara mfululizo ana uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya fizi

kuliko anayevuta kwa kiasi

a. Kweli

b. Si kweli

29. Mtu anayebwia ugoro ana uwezekano mkubwa kupata kansa ya kinywa kuliko asiyebwia

ugoro

a. Kweli

b. Si kweli

30. Mtu aliyebwia ugoro kwa miaka mingi ana uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya

kinywa kuliko aliyebwia ugoro kwa muda mfupi

a. Kweli

b. Si kweli

31. Mtu anayebwia ugoro mfululizo ana uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya kinywa

kuliko anayebwia kwa kiasi

a. Kweli

b. Si kweli

32. Mtu anayebwia ugoro ana uwezekano mkubwa kupata kansa ya kinywa kuliko asiyebwia

ugoro

a. Kweli

b. Si kweli