31.01.2015 Views

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

70

33. Mtu aliyebwia ugoro kwa miaka mingi ana uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya

fizi kuliko aliyebwia ugoro kwa muda mfupi

a. Kweli

b. Si kweli

34. Mtu anayebwia ugoro mfululizo ana uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya fizi

kuliko anayebwia kwa kiasi

a. Kweli

b. Si kweli

35. Mtu anayetafuna tumbaku ana uwezekano mkubwa kupata kansa ya kinywa kuliko

asiyetafuna tumbaku

a. Kweli

b. Si kweli

36. Mtu aliyetafuna tumbaku kwa miaka mingi ana uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya

kinywa kuliko aliyetafuna tumbaku kwa muda mfupi

a. Kweli

b. Si kweli

37. Mtu anayetafuna tumbaku mfululizo ana uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya kinywa

kuliko anayetafuna tumbaku kwa kiasi

a. Kweli

b. Si kweli

38. Mtu anayetafuna tumbaku ana uwezekano mkubwa kupata magonjwa ya fizi kuliko

asiyetafuna tumbaku

a. Kweli

b. Si kweli

39. Mtu aliyetafuna tumbaku kwa miaka mingi ana uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa

ya fizi kuliko aliyetafuna tumbaku kwa muda mfupi

a. Kweli

b. Si kweli

40. Mtu anayetafuna tumbaku mfululizo ana uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya fizi

kuliko anayetafuna tumbaku kwa kiasi

a. Kweli

b. Si kweli

Mwelekeo wa jamii dhidi ya uvutaji wa sigara

41. Wazazi wangu watakata tamaa wakigundua kuwa nabwia ugoro

a) Sikubaliani kabisa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!