31.01.2015 Views

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

73

50. Wanafunzi wa shule za sekondari walioorodhesha vitu ambavyo waliamini vinaweza

kumzuia mtu asitafune tumbaku. Ni kwa kiasi gani unafikiri vitu vifuatavyo vinaweza kumzuia

mtu asitafune tumbaku (Weka alama V kwa kila jibu lako sahihi).

S/NO Vitu

Vilivyoorodheshwa

i. Kuelewa madhara yatokanayo na utafunaji wa tumbaku

ii. Malezi mazuri kutoka kwa wazazi na walezi

iii. Kuishi katika jamii isiyopenda kutafuna tumbaku

iv. Mafundisho ya kidini

v. Harufu mbaya kutoka mdomoni

vi. Tumbaku kuuzwa kwa bei ghali

Haizuii

kabisa

Haizuii Inazuia Inazuia

kabisa

51. Wanafunzi wa shule za sekondari walioorodhesha vitu walivyoamini humvutia mtu kuanza

kuvuta sigara. Ni kwa kiasi gani unakubali kuwa vitu hivi humvutia mtu kuanza kuvuta sigara

Weka alama V kwenye jibu lako sahihi).

S/NO Vitu vilivyoorodheshwa Sikubaliani

kabisa

Sikubaliani Nakubalian

a

Nakubaliana

kabisa

i. Mvuto wa marafiki

ii. Kujaribu au kuonja radha ya sigara

iii. Kutokuelewa madhara ya kiafya yatokanayo na uvutaji

wa sigara

iv. Kutumia kilevi kama vile pombe

v. Mtazamo kuwa uvutaji wa sigara huondoa mawazo

vi. Kuishi na watu ambao ni wavutaji wa sigara kama vile

wazazi na ndugu

vii. Matangazo yatolewayo na viwanda vya sigara

52. Wanafunzi wa shule za sekondari walioorodhesha vitu vinane (8) ambavyo waliamini

vinaweza kumzuia mtu asivute sigara. Ni kwa kiasi gani unafikiri vitu vifuatavyo vinaweza

kumzuia mtu asivute sigara (Weka alama V kwa kila jibu lako sahihi)

S/NO Vitu

Vilivyoorodheshwa

i. Kuelewa madhara yatokanayo na uvutaji wa sigara

ii. Malezi mazuri kutoka kwa wazazi na walezi

iii. Kuishi katika jamii isiyopenda uvutaji wa sigara

iv. Mafundisho ya kidini

v. Harufu mbaya kutoka mdomoni

vi. Sigara kuuzwa kwa bei ghali

Haizuii

kabisa

Haizuii Inazuia Inazuia

kabisa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!