DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf
DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf
DISSERTATION WORK MSAFIRI KABULWA.pdf
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
68

e. Natafuna tumbaku kila siku

15. Kama unatafuna tumbaku kila siku, je ni mara ngapi kwa siku

a) Mara moja

b) Mara mbili

c) Zaidi ya mara tatu

16. Kama ungekuwa na tumbaku ya kutosha kwa siku, je ungeitafuna mara ngapi kwa siku

a) Mara moja

b) Mara mbili

c) Zaidi ya mara tatu

17. Je, ulishawahi kusikia mwanafunzi wa shule hii anavuta sigara

a) Ndiyo

b) Hapana

18. Je, ulishawahi kuona mwanafunzi wa shule hii anavuta sigara

a) Ndiyo

b) Hapana

19. Ni maelezo yapi ambayo yanakufaa wewe dhidi ya uvutaji wa sigara

a. Sijawahi kuvuta sigara hata kidogo

b. Nilishawahi kujaribu kuvuta sigara kidogo

c. Nilikuwa navuta sigara zamani lakini sasa nimeacha

d. Navuta sigara kwa kila juma

e. Navuta sigara kila siku

20. Kama unavuta sigara kila siku, je ni sigara ngapi unazovuta kwa siku................

a) Sigara 1-5 kwa siku

b) Sigara 6-10 kwa siku

c) Sigara 11 ama zaidi kwa siku

21. Kama ungekuwa na fedha za kutosha kununua sigara kama unavyohitaji, je ungevuta sigara

ngapi kwa siku............

Kiwango cha uelewa juu ya madhara ya kiafya yatokanayo na matumizi ya tumbaku

22. Mvutaji wa sigara ana uwezekano mkubwa kupata magonjwa mbalimbali kama vile kansa

ya mapafu na shinikizo la damu kuliko asiyevuta sigara

a. Kweli

b. Si kweli

23. Mvutaji wa sigara ana uwezekano mkubwa kupata kansa ya kinywa kuliko asiyevuta sigara

a. Kweli

b. Si kweli