12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

vijana wetu ili tuwe na wataalam wa kutosha nawatayarishwe vyema na wao ndio watakaowezakumudu uchimbaji wa Uranium. Hatuna wataalam wakutosha kwa sasa, sio vibaya kwenda kido<strong>go</strong> kido<strong>go</strong> isbetter to be sure than to be sorry.MHE. JOHN M. CHEYO: Mheshimiwa Spika,nachukua nafasi hii kumpongeza Mheshimiwa Wazirina Wafanyakazi wote kwa kazi nzuri inayoletamatumaini, aidha hotuba ya Wizara imetengeneza njiaya matumaini kwa Taifa letu, naomba kusisitizayafuatayo:-Mheshimiwa Spika, kuhusu umeme, transmission nimuhimu, umeme ni nguzo muhimu katika Taifa kufikianchi kuwa ya uchumi wa kati katika muda mfupi, nchiyetu ni kubwa na naona pamoja na kupata njia zauhakika kama vile kutumia gesi na makaa ya mawe,juhudi za kuzalishwa umeme lazima ziendane nakuimarisha transmission. Kinachoonekana uzalishaji ukoupande mmoja southern corridor mpaka Dodoma,lakini mahitaji makubwa yako Kanda ya Ziwa. Nashaurimikakati ya transmission iwekwe wazi ili nasi tulio Kandaya Ziwa tupate matumaini mapya. Nasisitiza jambo hiliukizingatia kazi na nia nzuri ya kufikisha umeme vijijini.Mheshimiwa Spika, kuhusu umeme vijijini,napongeza REA kwa kazi nzuri inayofanywa hataWilaya mpya yetu ya Itilima imekumbukwa na katikaJimbo langu vijiji vingi vimetajwa ingawa vimetajwaBungeni, basi vingebaki katika hansard. Natumainiatakupa taarifa rasmi kwa Wa<strong>bunge</strong> wote, hakikaJimbo langu nasisitiza umeme. Nywalushu-Nkoma

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!