12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Spika, kugundulika kwa gesi Mikoa yaKusini, Lindi ikiwa ni mojawapo inatarajiwa kutoamwanga na matumaini ya miaka mingi ijayo. Nasemahivi kwa kuzingatia kwamba Mikoa hii imekuwa nyumana imetengwa kwa muda mrefu sana kimaendeleo.Gesi hii sasa iwe ni Mwanga Kusini, ilete baraka Kusini,ilete dira mpya Kusini na zaidi ya yote ibadili taswiranzima ya Mikoa hii ya Kusini. Ni vema Serikali ikawekamkakati wa kuanzisha Ukanda wa kiuchumi imarakatika Mikoa hii ili iweze kuleta manufaa ya kwelibadala ya kuishia kutoa maji, madawati na mengineyafananayo. Naungana na watu wengiwanaotahadharisha kuwa gesi hii ilete baraka na silaana, tujipange.Mheshimiwa Spika, tangu wiki hii ianze,kumekuwepo na ushabiki, shutuma na nyinginezinazofanana mion<strong>go</strong>ni mwa Wa<strong>bunge</strong> kuhusiana natuhuma ndani ya Wizara hii. Kitendo hiki kinaletaudhalilishaji mkubwa kwa Bunge mbele ya jamii.Naishauri Wizara iyafanyie kazi mawazo yoteyaliyotolewa hasa yale yanayohusu Wizara ili kuepukaaina yoyote ya ubadhirifu. Hiki ni kiashiria toshakwamba wapo watumishi ndani ya Wizarawaliokubuhu kwa rushwa kiasi kwamba wanapataujasiri wa kuligawa Bunge kwa kuwashawishi baadhi.Mheshimiwa Spika, wakati Bunge linajitahidikujisafisha, Wizara nayo ijipange kujiimarisha. Waziri,Manaibu Waziri wote na Katibu Mkuu watumie sifa,baraka na moyo waliopewa na Wa<strong>bunge</strong> kulileteaTaifa manufaa. Waangalieni wasije wakalewa sifawakapoteza mwelekeo.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!