12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Spika, sekta ya madini. Hapa NaibuWaziri ameongelea mambo ya corporate tax kwambatumeanza kulipa na hili la Merareni nalo limeongelewana Ndugu zangu wale rafiki zangu wa Tanzanite One,hili jambo liko mezani kwangu. Kwanza, tumeshatoa ileleseni ambayo ilikuwa ni special minning licenseimebaki mining licence ya kawaida na yenyewehaijatolewa kwa sababu hatuwezi kufanya naomaongezi mpaka wawe wamemaliza kulipa fedhazetu za nyuma. (Makofi)Waheshimiwa Wa<strong>bunge</strong>, suala la Kiwiralimeongelewa kwa undani na mimi niseme kwa mudaniliokaa pale, tumelichunguza kwa undani sana, lakininiwaeleze tu kwa kifupi, iwapo tunataka m<strong>go</strong>di huouchukuliwe na STAMICO na zile asilimia 70 ya hisazilizoko kwenye kampuni ya Kiwira, ni lazima tulipemadeni ya kule walipokopa fedha. Ukichukua deni,hata ukichukua urithi wa mzazi wako, nadhaniunachukua urithi wa nyumba na madeni yake. Kwahiyo, ndiyo hali halisi hiyo. Tunaweza tukawa wachungukweli lakini kurithi mali lazima urithi na madeni na uzurini kwamba wanaodai kwa wingi ni Mashirika ya Umma.Ni NSSF, PSPF pamoja na CRDB. Kwa hiyo, tukiwalipahao, hata hii mijadala mikubwa ya fedha zawafanyakazi, tutakuwa tumesaidia sana hayomashirika. Kwa hiyo, Ndugu zangu, kila kitu kinaendavizuri kwenye hilo.Mheshimiwa Spika, sasa kuna hili la kupelekamchanga nje, labda wakaoteshe kule, sawa inawezaikatokea miujiza ya kijiolojia lakini sidhani kama hiyo ipokwamba madini yanaota kwa sababu kama dhahabu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!