12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

takataka. Naishauri Serikali iangalie ni jinsi ganitutakabiliana na tatizo hili hasa pale kina cha majikinapopungua.MHE. SELEMANI S. JAFO: Mheshimiwa Spika,naipongeza Serikali kwa kazi kubwa inayofanya katikakushughulikia tatizo la umeme. Pia isimamie vyemaujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Kilwa hadi Dar esSalaam.Mheshimiwa Spika, naishukuru Serikali kwakusimamia vyema Mradi wa Umeme katika Jimbolangu la Kisarawe. Nawashukuru sana Watendaji waWizara na TANESCO. Namshukuru Ndugu Mramba waTANESCO na Watendaji wenzake, kwa kuona umuhimuwa kusimamia Mradi wa Umeme Kisarawe hadiMsanga.Mheshimiwa Spika, naunga mkono hoja.MHE. JOSHUA S. NASSARI: Mheshimiwa Spika,nawapongeza Mheshimiwa Waziri, Manaibu wotewawili, Katibu Mkuu na Timu nzima, kwa len<strong>go</strong> nadhamira ya dhati ya kufanya re-formation Wizarani.Nawashukuru kwa kupunguza gharama zakuunganisha umeme hasa vijijini. Nikipata fursa yakuzungumza nitagusia, lakini pia ningependa kujuadestination na beneficiaries wa Sub-station ya KIA.Mheshimiwa Spika, la pili, ningeomba Miradi yoteya Umeme (On Going Projects), iliyokuwa Arumeruiendelee kama ilivyopangwa kwenye ramani, mingiimesimama kwa sasa. Finally, ninaunga mkono jitihada

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!