12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ya kule Mwanza ilitengenezeka miaka 2.7 billion yearsa<strong>go</strong>. Kwa hiyo, ni process ndefu ya kutengenezamadini sio ya kuotesha mara moja kama uyoga. Hatahivyo, Waheshimiwa, kitu ambacho vilevile miminimeshaagiza na project inaanza nakubaliana na nyie.Katika ule mchanga, kuna madini tusiyoyafahamu nakwa vifaa vilivyoko hapa nchini, hatuwezi kuyafahamuna haya madini yamekuja kuwa na uthamani hivikaribuni, haya sasa yanaitwa technology metals austrategic metals.Mheshimiwa Spika, kuna u<strong>go</strong>mvi kati ya China naMarekani kwa sababu China ina-control 95% ya madiniya aina hiyo duniani, halafu anakuwa mjanja, hatumii,anakwenda nje, lakini ndiyo ujanja wa kibiashara. Sasanimeagiza, bahati nzuri katika mwanafunzi wangummoja ambaye alionekana kutimiza conditions zanguza kufanya utafiti, nimempatia Profesa Mruma ambayendiye CEO wa Geological Survey, tunaanzisha mradiwa, je, haya madini yako wapi? Hizo ramanitulizowapatia baada ya muda tuonyeshe hizi strategicmetals ziko wapi. Kwa hiyo, ni kitu kipya, hatuwezikulaumu technology inabadilika. Madini kama hayo nikama indium yaani hizi electronics zote mnazotembeanazo zinahitaji hiyo na wengine mnafahamu ule wizi wacoltan, ile coltan ni crom byte na tantalum. Iletantalum ni ya muhimu sana kwenye mambo yacomputers na semi-conductors. Halafu kuna menginekama palladium, haya yote ndiyo yanayotumikakutengeneza exhausts za pipe za gesi. Sasa ni kwelinakubaliana na hilo na sisi tunalifanyia kazi. Hayamambo mengine ya madini, mwenzanguameyaongelea kwa kirefu. (Makofi)

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!