12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Spika, suala la nguzo za kusambazaumeme. Kwa kweli, kama tutamwambia mwananchialipie nguzo, kutoka point moja kwenda nyingine,tunamwonea. TANESCO ilifanye hili suala yenyewe,TANESCO inajiendesha kibiashara, mwananchi huyokila mwezi analipia umeme, sasa ni kwa nini napokutoa nguzo kutoka pale kuileta hapa, mnamwambiamtu ailipie, kazi ya TANESCO ni nini? Sisi tunasematunataka mwananchi awe na maisha bora? (Makofi)Mheshimiwa Spika, kwa hiyo, naomba hilo nalolizingatiwe na liangaliwe upya namna ambavyotunaweza tukampunguzia mwananchi wa kawaida,gharama za kuvuta umeme, ili aweze na yeye kuwa naumeme nyumbani kwake, kwani tunaelewa faida zaumeme katika kujiletea maisha bora. Kwa hiyo, nivema hasa wananchi wa vijijini, tukawafikiria marambili.Mheshimiwa Spika, baada ya kusema hayo,napenda kuunga mkono hoja. (Makofi)MHE. VITA R. KAWAWA: Mheshimiwa Spika,naomba nichukue fursa hii kukushukuru sana kwakunipa na mimi nafasi kuchangia mchan<strong>go</strong> huu.Naomba niwapongeze Mheshimiwa Waziri na ManaibuWaziri na Katibu Mkuu na Maafisa wote wa Wizara hii,kwa kufanya kazi yao vizuri na kuandaa vizuri Bajetiyao. (Makofi)

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!