12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

tukashawishiwa sijui wakaja Amnesty International hakisijui za binadamu haki za nani wasije wakatusumbuahawa. (Makofi)Juzi hapa Waziri wa Mambo ya Nje alisimama palena akazungumza kuhusu suala la ushoga, ulimwengumzima umesikia au mabwana wakubwa ambao kamawanasema wanaon<strong>go</strong>za ulimwengu wamesikiakwamba hatulitaki na tumesema kwamba tutafungamikanda kuhakikisha kwamba hili jambo lisifanyike hukukwetu hata kama watatuzuilia misaada. (Makofi)Basi na hili tuje tuwaambie kufuatana na halitunayokwenda nayo na nyakati tulizonazo sasa hivitunastahiki kuwa na sheria hii ya kuua waambiwe navigezo vipo na kama watashindwa kuwaeleza miminitawaambia kwa sababu hawa ni wahujumu uchumimimi nasema moja kwa moja wao wenyewe ni wauajiau kwa kuwa hawaandikwi kwenye magazeti? Waowenyewe ni mauaji.Sasa mimi naona labda nitoe rai tu kwamba niwakati sasa wa kukusanya data na kuwaelekezakwamba sasa tunakwenda tunakuelezeni kwaninitunazungumza hivi unapozimwa umeme labda kwamasaa mawili tu au matatu hasara gani na watuwangapi wanapoteza maisha kwenye nchi hii au kwakuwa magazeti hayaandiki? (Makofi)Kuna watu wanakuwa wako kwenye mashine kuleMuhimbili, umeme unapozimwa watu wanakufa kulekwa kuwa hawaandikwi kwenye vyombo vya habari,kuna dawa zinazohitajika zipate aidha joto la wastani

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!