12.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Napenda niwatakie kheri ya mwezi waRamadhani Waislam wote nchini. Pia napendakuwashukuru sana wananchi wa Mkoa wa Pwani hasawanawake kwa kuweza kuendelea kuniunga mkono.(Makofi)Mheshimiwa Spika, awali ya yote nianzekuipongeza Wizara hii pamoja na vion<strong>go</strong>zi wakekuanzia Waziri, Manaibu Waziri, Katibu Mkuu naWatendaji wote wa Wizara hii kwa maandalizi mazuriya Hotuba ambayo imewasilishwa. (Makofi)Mheshimiwa Spika, naomba pia niipongeze Wizarakwa utekelezaji wa shughuli mbalimbali za mwaka2011/2012 hasa ambazo zimefanyika katika Mkoa wetuwa Pwani. Kwa mfano kukamilika kwa mson<strong>go</strong> waumeme wa kV 33 kwa Kata ya Mbwewe.Lakini sambamba na hilo kwa mara ya kwanzaMakao Makuu ya Wilaya ya Rufiji yamepata umeme.Lakini pamoja na hayo pia niipongeze Wizara naniiombe iendelee kutekeleza miradi ambayoinaendelea ya kusambaza umeme katika Kata yaMagindu Wilaya ya Kibaha katika Kata yaKimanzichana Wilaya ya Mkuranga mradi huuuendelee.Pia katika Kata ya Kiwangwa wananchi waKiwangwa walimpa kura nyingi za Udiwani wa CCMkutokana na imani ya kwamba mradi ule wakusambaza umeme na nguzo zimefika. Kamatunavyofahamu eneo lile linaon<strong>go</strong>za kwa uzalishaji wamatunda, tunategemea wadau mbalimbali baada ya

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!