jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Animal Production (TSAP) juu ya ushirikishaji wa sekta binafsi katika kutoa

huduma mbalimbali za mifugo.

13. Mheshimiwa Spika, kwa upande wa sekta ya uvuvi, Ilani imeelekeza

sekta hii kuwa ya kisasa zaidi na iweze kuchangia mchango mkubwa kwenye

pato la Taifa. Hivyo, Serikali imeelekezwa kutekeleza yafuatayo:-

Mapinduzi ya Uvuvi

(i) Wizara ianzishe na kuendesha vyuo vyake vya uvuvi ili iweze kuandaa

wataalam wengi wa sekta ya uvuvi kukidhi mahitaji yote yanayotakiwa

kwa ajili ya kuboresha uvuvi nchini.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuimarisha vyuo vyake viwili (2) vya uvuvi vya Nyegezi

na Mbegani kwa kukarabati, kujenga miundombinu, kuongeza vifaa vya

mafunzo na wakufunzi ambapo uwezo wa vyuo hivyo wa kuchukua wanafunzi

umeongezeka kutoka wanafunzi 240 mwaka 2007/2008 hadi 500 mwaka

2010/2011.

(ii) Kuweka ulinzi madhubuti wa bahari zetu dhidi ya wavuvi haramu ikiwa ni

pamoja na kukamata vyombo vyao vya uvuvi na kuwachukulia hatua kwa

mujibu wa sheria.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na wadau imeendelea kusimamia matumizi endelevu

ya rasilimali za uvuvi katika bahari na maeneo mengine ya uvuvi kwa kufanya

yafuatayo:-

(a) Kufanya doria ya siku-kazi 4,962 kwenye maji, angani na nchi kavu;

(b) Kufanya mikutano ya wadau wa sekta ya uvuvi kuhusu udhibiti wa

uvuvi na biashara haramu;

(c) Kutoa elimu kwa wadau 193 kwa njia ya mikutano kuhusu elimu ya

athari za uvuvi wa mabomu na kuhamasisha ushirikiano baina ya wadau

wa sekta ya uvuvi katika kudhibiti uvuvi na biashara haramu ya uvuvi;

(d) Kununua boti za doria 16 na kuzigawa katika Halmashauri za Mkinga,

Bagamoyo, Mkuranga, Pangani na Lindi; Hifadhi za Bahari na Maeneo

Tengefu; vituo vya doria vya Tanga, Dar es Salaam, Mafia na Mtwara;

Idara ya Misitu; na

(e) Kuandaa na kurusha hewani vipindi vya redio 26 na vya luninga 6

kuhusu usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali za uvuvi.

10