15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

HOTUBA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI,

MHESHIMIWA DKT. DAVID MATHAYO DAVID (MB), AKIWASILISHA

BUNGENI MPANGO WA MAENDELEO NA MAKADIRIO YA MATUMIZI

YA FEDHA KWA MWAKA 2011/2012

A: UTANGULIZI

1. Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa leo hapa

Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na

Maji inayohusu Wizara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu

lipokee, lijadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio ya Matumizi

ya Fedha ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha

2011/2012.

2. Mheshimiwa Spika, nachukua nafasi hii kumpongeza Mhe. Dkt.

Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa

kuchaguliwa kwa mara nyingine kuliongoza Taifa letu kwa kipindi cha pili cha

Serikali ya Awamu ya Nne. Aidha, napenda kumpongeza Mhe. Dkt.

Mohamed Gharib Bilal, kwa kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuchaguliwa kwao ni kielelezo cha imani

tuliyonayo Watanzania kwa uongozi wao.

3. Mheshimiwa Spika, vilevile, napenda kumpongeza Mhe. Mizengo

Kayanza Peter Pinda, Mbunge wa Jimbo la Katavi, kwa kuteuliwa tena na

Mhe. Rais kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na

baadaye kuthibitishwa kwa kura nyingi na Bunge lako Tukufu kushika wadhifa

huo mkubwa. Kuteuliwa kwake tena kunaonyesha imani kubwa aliyonayo

Mhe. Rais juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi katika kusimamia

majukumu ya Serikali.

4. Mheshimiwa Spika, napenda nitumie pia nafasi hii, kukupongeza wewe

binafsi Mhe. Anne Semamba Makinda, Mbunge wa Jimbo la Njombe

Kusini, pamoja na Naibu Spika, Mhe. Job Yustino Ndugai, Mbunge wa

Jimbo la Kongwa, kwa kuchaguliwa kwenu kwa kura nyingi kuliongoza Bunge

hili Tukufu. Ushindi wenu ni kielelezo cha imani kubwa waliyonayo

Waheshimiwa Wabunge katika kusimamia shughuli za Bunge hili Tukufu.

Aidha, nawapongeza Mhe. Jenista Joakim Mhagama, Mbunge wa Jimbo la

Peramiho; Mhe. George Boniface Simbachawene, Mbunge wa Jimbo la

Kibakwe na Mhe. Sylvester Massele Mabumba, Mbunge wa Jimbo la Dole

kwa kuchaguliwa kwao kuwa Wenyeviti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

wa Tanzania.

2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!