15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

82. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kudhibiti magonjwa ya mifugo

yanayoambukiza binadamu yakiwemo Kichaa cha Mbwa, Homa ya Bonde la

Ufa, Kimeta, Kutupa Mimba na Kifua Kikuu cha Ng’ombe kwa kutekeleza

yafuatayo:-

(a) Kichaa cha Mbwa

Katika mwaka 2010/2011, Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na

Ustawi wa Jamii kupitia Mradi unaofadhiliwa na Taasisi ya Bill and Melinda

Gates imeendelea kutekeleza mkakati wa kudhibiti Kichaa cha Mbwa katika

Halmashauri 24 za Mikoa ya Dar-es-Salaam, Pwani, Mtwara, Lindi, Morogoro

kwa Tanzania Bara na Kisiwa cha Pemba kwa upande wa Serikali ya

Mapinduzi ya Zanzibar. Jumla ya mbwa 61,895 na paka 6,098 wamechanjwa

na zoezi la kuchanja bado linaendelea. Pia, Pikipiki 17 zilinunuliwa na

kusambazwa katika Halmashauri zinazotekeleza mradi. Aidha, Wizara ilinunua

na kusambaza dozi 100,000 za chanjo katika Halmashauri 97 (Jedwali

Na.11) zilizopo nje ya eneo la Mradi huo ambapo jumla ya mbwa 93,280

walichanjwa. Vilevile, Halmashauri 17 na sekta binafsi walinunua na

kusambaza dozi 49,736 ambapo mbwa 35,153 na paka 6,589 walichanjwa.

Katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea kudhibiti Kichaa cha Mbwa kwa

kutekeleza yafuatayo:-

(i) Kuendelea kutekeleza Mradi wa kudhibiti Kichaa cha Mbwa kwa kununua

na kusambaza dozi 100,000 za chanjo katika Halmashauri 24 zilizopo

kwenye mradi;

(ii) Kuhamasisha na kuratibu kampeni za uchanjaji kwa lengo la kuchanja

mbwa na paka 200,000 kwenye maeneo ya nje ya mradi; na

(iii) Kuandaa maadhimisho ya Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani

yanayofanyika tarehe 28 Septemba ya kila mwaka.

(b) Homa ya Bonde la Ufa

83. Mheshimiwa Spika, kinga dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Bonde la Ufa

iliendelea kutolewa kwa ng’ombe, mbuzi na kondoo katika Halmashauri

zilizokuwa katika hatari ya kupata ugonjwa huo kufuatia mlipuko wa ugonjwa

huo uliotokea mwezi Januari, 2007. Katika mwaka 2010/2011, Wizara ilinunua

jumla ya dozi 500,000 za chanjo na kuzisambaza katika Halmashauri sita

(6) za Simanjiro, Mpwapwa, Babati, Ngorongoro, Chamwino, na Monduli.

Jumla ya ng’ombe 149,409, mbuzi 154,835 na kondoo 160,414

walichanjwa. Aidha, elimu kuhusu ugonjwa huo na hatua za kuchukua ili

kuudhibiti ilitolewa kwa wananchi katika maeneo hayo.

46

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!