15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

(b) Kutoa mafunzo ya muda mfupi na muda mrefu ambapo, wakufunzi 24

walipata mafunzo ya mbinu za ufundishaji na watano (5) wanaendelea

na mafunzo ya shahada ya uzamili;

(c) Kutoa mafunzo kwa wagani wa mifugo watarajali 1,498 ambapo, 613

wamehitimu mafunzo mwaka 2010/2011;

(d) Kutoa mafunzo kwa wataalam 32 kutoka Halmashauri za Kanda ya Kati

mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu upangaji wa mipango shirikishi ya

ugani na mbinu ya shamba darasa; na

(e) Kuhuisha mitaala miwili (2) ya mafunzo ya mifugo kuwa mtaala

mmoja kwa ajili ya stashahada mpya ya uzalishaji na afya ya mifugo.

(x) Kuongeza na kuimarisha vituo vya uzalishaji mbegu bora za mifugo na

kuhimiza matumizi ya mbegu hizo.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuimarisha vituo vya uzalishaji mbegu bora za mifugo na

huduma za uhimilishaji kwa kuimarisha Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji –

NAIC Usa River na vituo vitano (5) vya Kanda. Aidha, vituo vipya vya Kanda

za Kusini (Lindi) na Nyanda za Juu Kusini (Mbeya) vimejengwa. Kutokana na

juhudi hizo, uhimilishaji umeongezeka kutoka ng’ombe 73,900 mwaka

2009/2010 hadi 76,800 mwaka 2010/2011.

(xi) Kuimarisha huduma za afya ya mifugo kwa kudhibiti magonjwa ya mifugo

hasa ya milipuko na uanzishwaji wa Maeneo Huru kwa Magonjwa ya

Mifugo.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuimarisha huduma za afya ya mifugo na udhibiti wa

magonjwa ya milipuko kwa:-

(a) Kuchanja ng’ombe milioni 7.2 dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Mapafu

ya Ng’ombe (CBPP);

(b) Kuendelea kutekeleza Mkakati wa Kudhibiti Ugonjwa wa Miguu na

Midomo;

(c) Kushirikiana na Halmashauri za Mikoa ya Mbeya, Iringa na Dar es

Salaam katika kudhibiti Homa ya Nguruwe ambapo dawa za kupulizia

lita 400 na mabomba sita (6) vimenunuliwa na kupelekwa kwenye

Halmashauri zilizoathirika; na

(d) Mkakati wa Kudhibiti Mafua Makali ya Ndege umeendelea kutekelezwa

ambapo Mpango wa Tahadhari na Udhibiti umeandaliwa. Hata hivyo,

ugonjwa haujaingia nchini.

8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!