jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na Halmashauri imeendelea kuelimisha wafugaji

kuhusu kutekeleza Sheria ya Maeneo ya Malisho na Rasilimali za Vyakula vya

Mifugo Na. 13 ya mwaka 2010 ambayo, pamoja na mambo mengine,

inawataka wafugaji kufuga mifugo kulingana na uwezo wa ardhi; kutunza

malambo na vyanzo vya maji; kuendeleza na kuhifadhi malisho; na kutenga

maeneo ya akiba kwa ajili ya kiangazi.

(iv) Serikali isimamie kwa ufanisi mkubwa mradi wa kopa ng’ombe/mbuzi,

lipa ng’ombe/mbuzi kama hatua ya kueneza ufugaji wa kisasa wenye tija

kubwa.

Utekelezaji:

Wizara imewezesha upatikanaji wa mitamba bora ya maziwa 10,470 kupitia

Mashamba ya Kuzalisha Mitamba ya Kitulo, Mabuki, Nangaramo, Ngerengere

na Sao Hill pamoja na Ranchi za NARCO na Mipango ya Kopa Ng’ombe lipa

Ng’ombe. Vilevile, mbuzi wa maziwa 3,216 wamesambazwa kupitia Mpango

wa Kopa Mbuzi lipa Mbuzi.

(v) Kuendeleza elimu kwa wafugaji ili wajue kuwa mifugo waliyonayo ni mali

inayoweza kuvunwa katika umri na uzito muafaka unaokidhi mahitaji ya

soko, ili kuwaondolea umaskini wao badala ya kuridhika na wingi wa

mifugo iliyo duni na maisha ya kuhamahama.

Utekelezaji:

Wizara kwa kushirikiana na Halmashauri na Asasi mbalimbali kama vile Land

O’ Lakes, Heifer Project Tanzania (HPT), World Vision na Care Tanzania

imetoa mafunzo kwa wafugaji 8,796 kuhusu mbinu za ufugaji bora wa

mifugo. Aidha, jitihada za makusudi za kuchochea uvunaji na uuzaji wa

mifugo na mazao yake katika maeneo ya wafugaji zimefanyika kwa kuwekeza

katika ujenzi wa machinjio ya kisasa Simanjiro na Monduli. Pia, kiwanda cha

kusindika maziwa kimejengwa Simanjiro kwa lengo hilo hilo.

(vi) Uzalishaji wa mitamba upanuliwe kwa kiwango kikubwa kwa Serikali

kuvutia na kuwezesha sekta binafsi katika uzalishaji na ufugaji wa kisasa.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuboresha mashamba ya kuzalisha mifugo ili kuongeza

upatikanaji wa mitamba ambapo ng’ombe wazazi 77 wamenunuliwa kwa ajili

ya mashamba hayo. Aidha, mitamba 712 ilizalishwa na kusambazwa kwa

6