jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Vilevile, uzalishaji wa mayai uliongezeka kutoka bilioni 2.9 mwaka

2009/2010 hadi mayai bilioni 3.34 mwaka 2010/2011 (Jedwali Na. 4).

Katika juhudi za kuhamasisha ufugaji wa kuku wa asili, Wizara kwa

kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) na Halmashauri

zimeendelea kuhamasisha teknolojia rahisi ya kukuza vifaranga kwa kasha

maalum linaloweza kutumika kwenye maeneo ya vijijini ambako nishati ya

umeme haipatikani kirahisi. Vilevile, wawakilishi 40 wa wadau wa tasnia ya

kuku wamehamasishwa kuunda chama cha wazalishaji wa kuku nchini.

Katika mwaka wa 2011/2012, Wizara itaendelea kuhamasisha uzalishaji wa

mayai na matumizi ya teknolojia sahihi za ufugaji wa kuku ikiwemo ya

utumiaji wa kasha la kutunzia vifaranga katika mikoa kumi (10) ya Singida,

Dodoma, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Pwani, Morogoro, Kagera, Arusha na

Manyara.

66. Mheshimiwa Spika, ufugaji wa nguruwe nchini umeendelea kukua

kutokana na kuongezeka kwa mahitaji. Katika mwaka 2010/2011, uzalishaji

wa nyama ya nguruwe umeongezeka kwa asilimia 12.5 kutoka tani 38,180

mwaka 2009/2010 hadi tani 43,643. Katika mwaka 2011/2012, Wizara

itaendelea kuimarisha uzalishaji wa nguruwe nchini kwa kuendeleza shamba

la Ngerengere kwa kulipatia nguruwe wazazi madume watano (5) kwa ajili

ya kuzalisha na kusambaza kwa wafugaji. Aidha, Wizara kwa kushirikiana na

Halmashauri itaendelea kuhamasisha sekta binafsi kuwekeza katika ufugaji wa

nguruwe wa kisasa.

Ufugaji wa Asili

67. Mheshimiwa Spika, uendelezaji wa ufugaji wa asili unahitaji kutenga

maeneo ya malisho, kuyaendeleza na kuyasimamia ambapo ni pamoja na

kutathmini uwezo wake na kuyawekea miundombinu muhimu. Katika mwaka

2010/2011, Wizara kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na

Maendeleo ya Makazi na TAMISEMI zimetenga maeneo ya malisho hekta

858,995.45 na kufanya eneo lililotengwa kwa ajili hiyo kufikia hekta milioni

2.3 katika vijiji 440 vya Halmashauri za Wilaya 49 (Jedwali Na. 6).

68. Mheshimiwa Spika, ili kuendeleza malisho ya mifugo nchini, ni muhimu

kuhakikisha kwamba mbegu bora za malisho zinapatikana karibu na wafugaji.

Katika mwaka 2010/2011, Wizara imeendelea kuimarisha mashamba yake ya

mbegu za malisho ya Vikuge (Pwani), Langwira (Mbeya), Kizota (Dodoma),

PRC Kongwa (Dodoma), Mabuki (Mwanza), Sao Hill (Iringa) na LRC (Tanga)

kwa kuyapatia vitendea kazi muhimu. Jumla ya tani 48 za mbegu bora za

malisho na marobota 770,100 ya hei yamezalishwa na kusambazwa kwa

wafugaji. Kati ya hayo, marobota 350,000 yamezalishwa kutoka katika

38