15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

(c) Kuimarisha kituo cha kutotoleshea vifaranga cha Mbegani kwa kujenga

matanki matatu (3) na mabwawa manne (4) ya kuzalisha na kufugia

samaki wa maji bahari. Vilevile, kwa upande wa maji baridi, kituo cha

ufugaji wa samaki cha Mtama kimeimarishwa kwa kujenga matanki

matano (5) ya kuhifadhia vifaranga.

(vi) Kuboresha mazao ya uvuvi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya soko la ndani

na nje ya nchi.

Utekelezaji:

Wizara kupitia Maabara ya Taifa ya Uthibiti wa Ubora wa Samaki Nyegezi-

Mwanza imeendelea kuhakiki usalama na ubora wa mazao ya uvuvi kwa ajili

ya soko la ndani na nje kwa kufanya uchunguzi kwa jumla ya sampuli 1,727

ili kuhakiki ubora na usalama wake. Aidha, kaguzi 2,486 zilifanyika ili kuhakiki

ubora na usalama wa mazao ya uvuvi kabla ya kusafirishwa nje ya nchi. Vile

vile, Wizara ilifanya kaguzi 620 ili kuhakiki ubora wa viwanda 28 vya

kuchakata mazao ya uvuvi na maghala 39 ya kuhifadhi mazao ya uvuvi katika

kanda za Ziwa Victoria na Pwani. Mazao ya uvuvi, viwanda na maghala

yaliyokaguliwa yalionekana kukidhi viwango vya ubora na usalama.

(vii) Kujenga mazingira ya kuvutia uwekezaji katika sekta ya uvuvi hususan

ujenzi wa viwanda vya samaki.

Utekelezaji:

Serikali imeendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji katika sekta ya

uvuvi na viwanda vya kuchakata mazao ya uvuvi kwa kutekeleza yafuatayo:

(a) Kuendelea kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye zana za

uvuvi ikiwa ni pamoja na injini za kupachika na vifungashio. Katika

mwaka 2011/2012, kodi hiyo pia imeondolewa kwenye nyuzi za

kutengenezea nyavu (nylon fishing twines) na kufuta Kodi ya Zuio kwa

usafirishaji wa samaki nje ya nchi kwa kutumia ndege za nje;

(b) Kuendelea kutoza ushuru wa samaki wanaoingizwa kutoka nchi za nje

kwa Dola za Kimarekani 0.25 kwa kilo;

(c) Kuondoa mrabaha kwenye mazao yanayokuzwa kwenye maji, ambayo

ni mwani na kambamiti;

(d) Kuendelea kuboresha udhibiti wa ubora na usalama wa mazao ya uvuvi

pamoja na miundombinu;

(e) Kupitia upya Sera na Mikakati ya Uvuvi ya Mwaka 1997 kwa lengo la

kuihuisha ili iweze kukidhi mahitaji ya sasa na ya wakati ujao;

(f) Kuainisha fursa za uwekezaji katika Sekta ya Uvuvi kulingana na

mazingira ya sasa; na

12

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!