15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

(a) Kuwezesha vikundi 20 vyenye wanachama 267 (wanaume 151 na

wanawake 116) wa jamii za pwani kubuni na kutekeleza miradi 20 ya

kiuchumi yenye thamani ya shilingi milioni 336.9;

(b) Kuwezesha uanzishwaji wa vikundi 71 vya ufugaji wa samaki,

unenepeshaji wa kaa, ukuzaji wa chaza wa lulu na ukulima wa mwani

katika mwambao wa pwani; na

(c) Kuhamasisha wananchi wa mwambao wa pwani kuanzisha Benki za

Wananchi Vijijini katika Wilaya za Kilwa, Mafia na Rufiji.

(xi) Kuimarisha usimamizi wa mazingira katika maeneo ya uvuvi, ukuzaji wa

viumbe kwenye maji na maeneo tengefu.

Utekelezaji:

Wizara imeendelea kuimarisha usimamizi wa mazingira katika maeneo ya

uvuvi, ukuzaji wa viumbe kwenye maji na maeneo tengefu kama ifuatavyo:-

(a) Kuandaa Mpango wa Jumla wa Usimamizi (General Management Plan)

kwa ajili ya Hifadhi ya Bahari ya Silikanti-Tanga;

(b) Kupitia mpango wa jumla wa usimamizi wa Hifadhi za Bahari za Mafia

na Ghuba ya Mnazi na Maingilio ya Mto Ruvuma; na

(c) Kushirikiana na wadau kufanya doria za siku-kazi 3,894 kudhibiti uvuvi

haramu na uharibifu wa mazingira.

(xii) Kuhimiza shughuli mbadala za kiuchumi kwa jamii za wavuvi ili

kupunguza nguvu ya uvuvi kwenye maji ya asili na maeneo tengefu.

Utekelezaji:

Wizara imezijengea uwezo jamii zilizopo katika maeneo ya Hifadhi za Bahari

na Maeneo Tengefu kwa kuanzisha miradi sita (6) kuhusu kilimo cha mwani,

ukuzaji wa lulu, ufugaji wa kaa, ufugaji wa kuku, utengenezaji wa batiki na

shughuli za uongozaji watalii. Aidha, kupitia Mradi wa MACEMP, miradi 20 ya

kiuchumi yenye thamani ya shilingi milioni 336.9 imeanzishwa.

14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!