15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Aidha, viwango vya ulaji wa mazao ya mifugo kwa sasa ni wastani wa kilo 12

za nyama, lita 44 za maziwa na mayai 75 kwa mtu kwa mwaka. Ulaji huu

bado ni mdogo ikilinganishwa na viwango vya Shirika la Chakula na Kilimo la

Umoja wa Mataifa (FAO) vya kilo 50 za nyama, lita 200 za maziwa na mayai

300 kwa mtu kwa mwaka. Katika mwaka 2010, sekta ya mifugo ilikua kwa

asilimia 3.4 ikilinganishwa na asilimia 2.3 mwaka 2009 na kuchangia asilimia

3.8 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 4.0 mwaka 2009.

9. Mheshimiwa Spika, nchi yetu inayo maeneo mengi ya uvuvi, ikiwa ni

pamoja na kilometa za mraba 64,000 za ukanda wa bahari, kilometa za

mraba 223,000 za Bahari Kuu, maziwa makuu ya Victoria (kilometa za mraba

35,088), Tanganyika (kilometa za mraba 13,489) na Nyasa (kilometa za

mraba 5,700). Pia, yapo maziwa ya kati na madogo 29 na mabwawa

19,039. Kutokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi nchini

(TAFIRI) mwaka 2009, kiasi cha samaki kilichopo katika maziwa makubwa ni

takriban tani 2,914,296 (Ziwa Victoria tani 2,451,296, Ziwa Tanganyika tani

295,000 na Ziwa Nyasa tani 168,000). Katika mwaka 2010, sekta ya uvuvi

ilikua kwa asilimia 1.5 ikilinganishwa na asilimia 2.7 mwaka 2009 na

kuchangia asilimia 1.4 katika pato la Taifa kama ilivyokuwa mwaka 2009.

Aidha, ulaji wa mazao ya uvuvi kwa mtu kwa mwaka ni kilo 8.0 ikilinganishwa

na kilo 10.7 zinazopendekezwa na FAO.

10. Mheshimiwa Spika, sekta za mifugo na uvuvi kwa kipindi cha mwaka

2010/2011 zimeendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni

pamoja na:-

(i) Kuainisha, kupima, kumilikisha na kuendeleza maeneo ya ufugaji

endelevu ili kudhibiti kuhamahama, kupunguza migogoro baina ya

wafugaji na watumiaji wengine wa ardhi, kupunguza uharibifu wa

mazingira na kuzuia kuenea kwa magonjwa ya mifugo;

(ii) Kuwa na wataalam wa kutosha kukidhi mahitaji ya sekta za mifugo na

uvuvi;

(iii) Kuongeza uwekezaji katika sekta za mifugo na uvuvi ili kuongeza

uzalishaji, tija na thamani ya mazao ya mifugo na uvuvi;

(iv) Kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mifugo, hususan ya milipuko;

(v) Kupatikana kwa mikopo yenye masharti nafuu kwa ufugaji na uvuvi;

(vi) Kupatikana kwa pembejeo na zana za gharama nafuu kwa ajili ya

ufugaji na uvuvi;

(vii) Kupatikana kwa soko la uhakika la mazao ya mifugo na uvuvi;

(viii) Kudhibiti uvuvi na biashara haramu ya samaki na mazao ya uvuvi;

(ix) Kuwa na rasilimali fedha ya kutosha kukidhi mahitaji ya sekta za mifugo

na uvuvi; na

(x) Upatikanaji wa elimu na teknolojia pamoja na matumizi ya teknolojia za

kisasa kwa wafugaji na wavuvi.

4

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!