15.01.2013 Views

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

jamhuri ya muungano wa tanzania - Ministry of Livestock and ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

taratibu za kupata ithibati kwa ajili ya uchunguzi wa viuatilifu na mabaki ya

sumu.

47. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea

kuimarisha na kuwezesha utendaji kazi wa Maabara ya Samaki – Nyegezi,

Mwanza kwa kuipatia vitendea kazi na kutoa mafunzo kwa watumishi. Aidha,

itaendeleza taratibu za kupata ithibati kwa ajili ya uchunguzi wa viuatilifu na

mabaki ya sumu. Pia, Maabara itafanya uchunguzi wa sampuli 800 za minofu

ya samaki, maji na udongo.

Maabara ya Uchunguzi wa Sumu ya Mwani unaoelea kwenye Maji (

Harmful Algal Blooms-HABs) – Temeke

48. Mheshimiwa Spika, Wizara kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la

Nguvu za Atomiki (International Atomic Energy Agency) imeendelea

kuiimarisha Maabara ya uchunguzi wa sumu kwenye Mwani unaoelea chini ya

Mradi wa Coastal Zone Management unaotekelezwa na nchi sita za Angola,

Afrika Kusini, Kenya, Namibia, Tanzania na Tunisia kwa kutumia teknolojia ya

nguvu za Atomiki. Lengo kuu la mradi huu ni kuziwezesha nchi shiriki kutumia

teknolojia ya Atomiki kufanya tafiti za mwani unaoelea ambao hutoa sumu

inayoathiri usalama wa mazao ya uvuvi na viumbe vinavyoishi kwenye maji.

Maabara hiyo imepatiwa vifaa vya uchunguzi, pikipiki na Kompyuta. Aidha,

Mtaalam mmoja (1) ameshiriki kwenye mafunzo kuhusu uendeshaji wa

Maabara za aina hii yaliyofanyika Mombasa Kenya.

49. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/2012, Wizara itaendelea

kuimarisha Maabara ya HABs na kuiwezesha kuanza kazi za uchunguzi wa

sumu kwenye maji kwa kuipatia vitendea kazi na kutoa mafunzo kwa

watumishi.

Baraza la Veterinari Tanzania

50. Mheshimiwa Spika, Wizara kupitia Baraza la Veterinari iliendelea

kuboresha huduma zinazotolewa na wataalam wa huduma za afya ya mifugo

kwa kuboresha ukaguzi wa viwango vya taaluma katika vyuo vya Morogoro na

Mpwapwa, usajili wa madaktari wa mifugo 18 na kuhamasisha wataalam

kujiendeleza kitaaluma. Vilevile, wataalam walihamasishwa juu ya utekelezaji

wa sera ya ushirikishwaji wa sekta binafsi katika kutoa huduma za mifugo.

Kazi nyingine zilizotekelezwa na Baraza la Veterinari ni pamoja na:-

30

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!