ushoroba wa msitu wa derema - Eastern Arc Mountains ...
ushoroba wa msitu wa derema - Eastern Arc Mountains ...
ushoroba wa msitu wa derema - Eastern Arc Mountains ...
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
RASIMU

• Inahitajia kwamba mali zilipiwe fidia kwa thamani kamili na halisi

• Inahitajia kwamba watu wanaopoteza mali zao wapewe fursa ya kuboresha hali

zao za maisha, na uwezo wa kupata uzalishaji mali mbadala au namna nyingineyo

• Inahitajia kwamba upangaji wa utekelezaji wa shughuli uwe shirikishi, kwa

namna ambayo wale watakaoathirika waelewe kikamilifu ni hatua gani

zitachukuliwa katika mchakato wa ulipaji fidia

• Inahitajia kwamba kuwe na mbinu na namna rahisi ambazo zinafanya kazi vizuri

katika kutatua migogoro na malalamiko.

39. Haitegemewi kwamba kutakuwa na hatua zitakazochukuliwa, kwa upande wa

mradi huu, kuibadili sheria ya Tanzania na kanuni zake ili ilingane na mahitajio na

masharti ya OP 4.12. Badala yake Wizara ya Maliasili na Utalii katika kutafuta msaada

wa kifedha kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kutatulia suala hili inakubali kutekeleza

Mpango wa Kuhamisha Shughuli za Kipato (MKUSHUKI) kwa mujibu wa Sera ya

Uendeshaji ya Benki ya Dunia. Katika kipengele chochote cha mchakato huo ambapo

masharti ya Tanzania na Benki ya Dunia yanatofautiana au kusigana Wizara inakubali

kufuata zile taratibu ambazo ni muafaka kwa pande hizo mbili na taratibu zake. Pale

ambapo sera ya Benki haisemi chochote kuhusu kipengele fulani, Wizara haitatafuta

kipingamizi kutoka Benki ya Dunia kutekeleza mpango huu wa MKUSHUKI kwa

mujibu wa taratibu na kanuni za Tanzania.

40. Kuliingiza Tao la Mashariki Katika sera ya Benki ya Dunia. Mradi wa

Hifadhi na Usimamizi wa Misitu Tanzania (Tanzania Forest Conservation and

Management Project), ambao unafadhiliwa na IDA una sehemu kuu mbili na muhimu:

msaada wa FBD katika uwezo wa kusimamia na kulinda ubioanuwai wa taifa, ikiwa ni

pamoja na hifadhi ya misitu; na kusaidia shughuli za hifadhi katika milima ya Tao la

Mashariki. Wakati mradi huo ulipowasilishwa kuidhinishwa na Benki ya Dunia, ilielezwa

kwamba:

“Serikali imekubali kwamba iwapo itatokea, kwa bahati mbaya, kwamba katika

utekelezaji wa mradi kutakuwa na lazima ya watu kuhamishwa bila hiari yao, mpango

makini wa uhamishaji utatayarishwa na kupelekwa IDA ili upitiwe vizuri kabla hatua

zozote za uhamishaji hazijachukuliwa”.

30