13.12.2012 Views

ushoroba wa msitu wa derema - Eastern Arc Mountains ...

ushoroba wa msitu wa derema - Eastern Arc Mountains ...

ushoroba wa msitu wa derema - Eastern Arc Mountains ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

RASIMU

michungwa, minazi, na mahindi. Kinachohitajika kwa wakulima wa Derema

walioathirika na hatua zilizochukuliwa na serikali ni kuwa na mpango wa pamoja wa

kuufanya uwezekano wa ardhi mbadala liwe jambo linalotekelezeka kikweli kweli, kwa

wale ambao wanahitaji ardhi.

62. Mojawapo ya makusudio muhimu katika kusimamia Kanda iliyozuiliwa ni

kupunguza kuingiliwa kwa Hifadhi ya Mazingira. Ama kuhusu HIMAA, Jambiya na

Sosovele wanasema:

“Ukuzaji wa matumizi ya ardhi ambayo yanadumisha kuwepo kwa wakazi

wachache katika maeneo jirani, pengine ndio mkakati wa muda mrefu unaofaa.

Lakini, pamoja na kwamba utaratibu huo ndio unaofaa zaidi, tatizo kubwa

linakuwa ni kwa jinsi gani tunaweza kufanya idadi ya watu ikabakia ndogo

katika maeneo hayo? ….. Katika maeneo kama ya Milima ya Tao la Mashariki

nguvu ya ongezeko la watu ni kubwa” 9

63. Pamoja na kwamba kuanzishwa kwa HIMAA mnamo mwaka 1998 kulieleza

kwamba “lengo [la hifadhi] lifikiwe kwa namna ambayo itahakikisha kwamba hali za

maisha ya watu haziathiriki na kwamba shughuli zao ……… zina msingi endelevu,”

nguvu ya kuongezeka kwa idadi ya wakazi wa asili ni suala ambalo litachukua muda

mrefu. Mara nyingi suala hili huonekana kama lisiloweza kubadilika, huchukuliwa

kwamba watu wanaishi katika eneo fulani huwa wana mizizi ya kale katika eneo hilo, na

kwamba kulihama eneo hilo au kuwatafutia eneo jingine ni kuvuruga historia na

utambulisho wa watu. Kinyume kabisa na hivyo, maelezo yaliyotolewa hapo juu

yanaonyesha kwamba katika Tanzania kwa kawaida, 10 na milima ya Usambara ikiwemo,

shuruti za mabadiliko ya kisiasa na masoko zimekuwa zikiendelea “kuandika upya”

(kubadilisha) mikakati ya kimaisha ya wanavijiji. Kuanzishwa kwa shughuli za kiuchumi,

na pengine baadaye makazi, katika nyanda za chini katika kipindi kisichokuwa na

mivutano baina ya majirani, lakini kukiwa na kukinzana zaidi na malengo ya serikali,

9 George Jambiya & Hussein Sosovele, “Conservation and Poverty: A case Study of the Amani Nature

Reserve”, Research on Poverty Alleviation (REPOA) report 0.5, 2001, Dar es Salaam, pg. 13

10 Kwa maoni kuhusu Milima ya Usambara Magharibi, taz. Christopher A. Conte, “Colonial Science and

Ecological Change: Tanzania’s Mlalo Basin 1888-1946,” Environmental History, April 1999, Conte

anaonyesha jinsi ambavyo vijana katika Karne ya Kumi na Tisa walivyoona tishio katika mfumo wao wa

kilimo na kujirekebisha kila ilipobidi: “walionyesha kuwa kwao tayari kufanya majaribio na kuboresha

kilimo chao kulingana na mabadiliko ya hali za kiekolojia, kidemografia na kiuchumi. Hakuna mtazamaji

yeyote wa Ulaya aliyelekea kuelewa kwamba mabadiliko ya vizazi viwili vya mwasiliano yanawakilisha

mwendeleo na kuachana na mazoea ya zamani.

46

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!