26.09.2014 Views

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

(b) Kutumwa moja kwa moja hadi benki au mfumo mwingine wa

kielektroniki wa kutuma pesa au

(c) Mfumo wa kutuma pesa kupitia simu.

Katika hali ya utumaji pesa iliyopendekezwa chini ya kifungu nambari

156 (b) au ( c) hapo juu, pesa zitatumwa katika akaunti ya

benki au nambari ya simu au maelezo kuhusu akaunti ya benki

yaliyotolewa na mwanachama (au wamiliki wa pamoja kwenye

kampuni. Malipo ya hundi au dhamana au thibitisho la malipo yaliyotolewa

na mwenye kutuma pesa hadi mwenye kulipwa kupitia

njia ya elektroniki katika kila hali hii, itakuwa njia bora ya kuondolea

kampuni lawama’’.

(iii) Kwamba kwa kutegemea kupitishwa kwa azimio (i) hapo juu,

vifungu nambari 68 na 176 vilivyoko sasa vibatilishwe na kuwa

vifungu nambari 69 na 177 mtawalia.

(iv) Kwamba maazimio yaliyoko hapo juu yaanze kutumika mara moja.

Kwa Amri ya Halmashauri

D.K Ng’ang’a

KATIBU WA KAMPUNI

Imenukuliwa Machi 23, 2011.

MUHIMU:

Mwanachama aliye na ruhusa kuhudhuria mkutano na kupiga kura

lakini akawa hawezi kufika anaweza kumteua wakala kumuwakilisha

na kupiga kura kwa niaba yake. Si lazima kwa wakala kuwa mwanachama

wa kampuni. Ili kuruhusiwa kufanya hivyo, fomu ya uwakilishi

iliyoambatanishwa pamoja na ripoti hii inastahili kujazwa kikamilifu

na kutiwa sahihi na mwanachama na lazima ipokelewe katika ofisi

zilizosajiliwa za msajili wa kampuni kabla ya tano asubuhi mnamo

Mei 27, 2011.

TPS EASTERN AFRICA LIMITED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2010 11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!