26.09.2014 Views

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Taarifa kutoka kwa Meneja Mkurugenzi (Kuendelea)

katika chumi kubwa hali inayotarajiwa kuleta

mafanikio thabiti katika mapato ya utalii

mwaka 2011.

Vidokezo vya wataalamu wa uchumi

vinasema kwamba ni taharuki za baadaye

za mazingira zinazoleta mahitaji mapya

na kwa sababu hiyo usimamizi utakuwa

ukitathmini kwa karibu mazingira ya

kiuchumi katika masoko ya kibiashara ya

kampuni ili kuhakikisha kwamba inavumbua

na kutathmini mabadiliko kuhusiana na

matarajio ya wateja na kutumia kikamilifu

nafasi zitakazojitokeza ili kuandaa viwango

vya hali ya juu vya huduma na bidhaa

na kukabiliana vilivyo na vituo vya likizo/

mikutano/ shughuli mwaka 2011 na kuweza

kuhifadhi nafasi yake kwenye masoko.

Huku mazingira ya kiuchumi eneo la afrika

mashariki yakitarajiwa kubadilika, usimamizi

hauwezi kukadiria ipasavyo mienendo

kwenye soko la ubadilishanaji fedha.

Usimamizi una imani kwamba, huku tukiwa

na mbinu bora za kibiashara zilizofanyiwa

utafiti, tutaweza kujihami vilivyo dhidi ya

hali zinazoweza kutokea ambazo ziko nje ya

uwezo wake.

Ningependa kutambua na kuzishukuru

serikali katika maeneo ya Afrika Mashariki

kutokana na juhudi zake ambazo zilinuiwa

kuyarejesha mataifa eneo la Afrika Mashariki

kwenye mkondo wa ufufuaji uchumi.

Ningependa kutoa mwito kwa serikali

zilizoko eneo la Afrika Mashariki kuandaa

mazingira bora kwa shughuli za biashara

ya utalii na kutenga hazina ya kutosha kwa

mataifa yanayoleta watalii. Pia ningependa

kutoa mwito kwa mataifa hayo kuhakikisha

kuthibitiwa kwa maendeleo mapya katika

mazingira hafifu ya mimea na wanyama

kwenye mbuga za kitaifa za wanyama pori

na kwamba imarisho la miundo misingi

limezinduliwa haraka, kwepo kwa uthabiti

kisiasa na usalama ili kurejesha imani kwa

wananchi, wasafiri na wawekezaji.

Mwisho, kwa niaba ya wafanyakazi na

usimamizi ningependa kutoa shukrani kwa

Halmashauri ya wakurugenzi kutokana na

mwongozo wao, bidii, mchango muhimu

na himizo mwaka 2010. Pia, ningependa

kutoa shukrani zangu kwa wanahisa, wateja

na washika dau mbali mbali kutokana na

mchango wao wa kila mara mwaka uliopita.

Sisi katika Serena tunatazamia mchango wao

kipindi cha mwaka 2011.

Mahmud Jan Mohamed

Meneja Mkurugenzi

TPS EASTERN AFRICA LIMITED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2010 23

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!