26.09.2014 Views

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

TPSEAL 2010 Financial Results. - Serena Hotels

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Proxy Form

I/We

being a member/members of the above named Company, hereby appoint

of

and failing him,

of

as my/our proxy to vote for me/us and on my/our behalf at the Annual

General Meeting of the Company to be held on Tuesday 31 May 2011 at 11.00 a.m. and at any adjournment thereof.

No. of shares held: Account number:

Signed this day of 2011

Signature:

Signature:

NOTES:

1. If you so wish you may appoint the Chairman of the meeting as your proxy.

2. To be valid, this Form of Proxy MUST be returned to the Company’s Share Registrars, Image Registrars, 8 floor, Transnational

Plaza, Mama Ngina Street, P. O. Box 9287-00100, GPO, Nairobi, Kenya, not later than 27 May, 2011 at 11.00a.m.

3. A person appointed as a proxy need not be a member of the Company.

4. In the case of a member being a limited liability Company/ Corporation, this Form of Proxy MUST be completed under its seal

or under the hand of an officer or attorney duly authorized in writing.

5. In the case of joint holders, the signature of any one of them will suffice but the names of all joint holders should be stated.

Fomu ya Uwakilishi

Mimi/ sisi

Kama mwanachama/ wanachama wa kampuni iliyotajwa hapo juu, namteua/Twamteua

Kutoka

na akikosa kufika

Kutoka

kama wakala wangu/wetu kupiga kura kwangu/kwetu na kwa niaba yangu/ sisi wakati

wa mkutano wa pamoja wa mwaka wa kampuni utakaofanyika Mei 31 2011 kuanzia saa tano asubuhi au kuahirishwa kwake.

Idadi ya hisa zinazomilikiwa

nambari ya akaunti

Imetiwa sahihi Tarehe 2011

Sahihi

Sahihi

MUHIMU

1) Kwa hiari yako unaweza kumteua Mwenyekiti wa Mkutano kuwa wakala wako

2) Ili kuwa halali, fomu hii ya uwakilishi LAZIMA irudishwe kwa msajili wa hisa za kampuni, Image Registrars, orofa ya nane

Jumba la Transnational Plaza, barabara ya Mama Ngina SLP 9287-00100, GPO, Nairobi,Kenya kabla ya Mei 27 2011 saa tano

asubuhi.

3) Si lazima kwa mtu aliyeteuliwa kama wakala kuwa mwanachama wa kampuni

4) Endapo mwanachama atakuwa kampuni/shirika, fomu hii ya uwakilishi LAZIMA ijazwe na kupigwa mhuri wake rasmi na afisa

au kutiwa sahihi na wakili aliyeruhusiwa kwa njia ya kuandika.

5) Endapo umiliki utakuwa wa pamoja, sahihi ya mmoja wao itatosha lakini majina ya wamiliki wote yaonyeshwe.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!