Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mstali wa Kumi na Mbili (1:12)

1. Vinara Vya Taa Saba Vya Dhahabu.

A. Vya wakilisha makanisa saba, Ufu. 1:20.

B. Washiriki wa nuru ya Mungu, Mat. 5:14-16.

Mstali wa Kumi na Tatu (1:13)

1. Mtu Mfano Wa Mwanadamu, Dan. 7:13; Ufu. 14:14; Dan. 7:9, 13; 10:5-6; Eze. 1:24.

A. Hakuna nakala yoyote toka lugha ya Kiasilia.

B. Ikithibitisha ama kudhihirisha kazi tatu za Yesu.

2. Vazi Lililofika Miguuni

A. Ilitumika katika Kiseptuagent kama dera ya kifua.

B. Ikithibitisha ama kudhihirisha kazi tatu za Yesu.

1. Kama Nabii (Mat. 21:11, 46; Lk. 13:33; 24:19; Yoh. 4:19; 6:14; 7:40; 9:17;

Kumb. 18:15-18; Mdo. 3:22).

2. Kama Kuhani (Ebr. 2:17; 4:14-15, 5:5, 6:20. 7:17, 21, 26, 8:1, 9:11, 10:21).

3. Kama Mfalme (1 Sam. 18:4; 24:5, 11; Eze. 26:16; 1 Tim. 6:15; Ufu. 1:5; 17:14;

19:16).

3. Na Kufungwa Mishipi Ya Dhahabu.

A. Vifuani mwao, Ufu. 15:6.

B. Vifundo Vifuani, Vincent, Tol. 2, Uk. 427.

Mstali wa Kumi Na Nne (1:14)

1. Kichwa na Nywele

A. Vinaonyesha utakatifu na usafi.

B. Nukuu za kitamshi (Dan. 7:9, 13, 22).

1. Mwanzoni - (Mwa. 1:1).

2. Pasipo Dhambi - (Isa. 1:18).

3. Usawa pamoja na Baba - Dan. 7.

2. Macho

A. Mwenye Kuona - (Kipitishio) maana yake aona na kujua kila kitu - Yoh. 2:25.

B. Akiwambia Wakristo kutoona hofu kwa kuwa Yesu aona shida na taabu pamoja na majaribu.

Mstari wa Kumi na Tano (1:15)

1. Miguu Kama Shaba Uliyosuguliwa Kwenye Tanuru.

A. Iliyong’arishwa - ujumbe wa utakatifu, Dan. 10:6.

B. Pengine yaashiria nguvu (Mst. 16, Mik. 4:13; Eze. 1:7).

1. Inaonyesha nguvu za uharibifu kuwepo katika hasira ya Mungu juu ya Rumi.

C. Pengine haraka, hivyo Yesu aja upesi kulipa/kutoa maamuzi.

2. Sauti

A. Eze. 1:24, 43:2 - Hiyo itatoa hukumu.

3. Mengi

A. Watoa maoni mbali mbali.

Mstali wa Kumi na Sita

1. Nyota Saba

A. Mkono wa kuume alama ya nguvu au uthibilifu halisi, Yoh. 12:28-29; Ayu. 38:31.

B. 1:20 - Malaika

C. Malaika wa wakilisha Kanisa (maelezo zaidi mstali 20).

2. Upanga Wenye Makali Kuwili.

A. Neno la Mungu - Ebr. 4:12-13.

1. Siyo injili au habari njema isipokuwa hukumu, Yoh. 12:48.

B. Isa. 11:4; 49:2; Hos. 6:5.

1. Maneno ya hukumu, 2 Thes. 2:8.

10