Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Sura 9 Mstali 8

1. Bilashaka zinasimamia akili au uzuri.

2. Kama nzige watakuwa kama viumbe wenye uzuri wenye kutawala,

wataonekana wema machori pa binadamu na watu watadanganywa na

kuwafuata.

1. Nywele za binadamu

A. Nywele ndefu zinaashina nguvu au uzuri.

2. Meno ya simba

A. Nguvu ya uharibifu, Yoel 1:6.

1. Nguvu ya uharibifu ikinyeshe pia upole.

2. Mchanganyiko wa wenyehaki na watu wabaya na nguvu za maangamizi.

Mstali 9

1. Diriikifuani

A. Kwa ajili ya ulinzo - Ef. 6:14, 1 Tes. 5:8, Uf. 9:9, 17.

2. Kama dirii za chuma.

A. Chunga “. . . kama za . . .”

1. Zikifanana na chuma, hivyo ni uwezo wa kujilinda.

3. Sauti za mbawa zao.

A. Kama sauti za farasi wengi.

1. Bila sheka idadi kubwa.

Mstali 10

1. Mikia

A. Ishara ya nguvu ya uharibifu.

2. Maumivu

A. Wenye kudhuru.

3. Miezi mitano

A. Angalia maelezo katika mstali wa tano.

Mstali 11

1. Mfalme

A. Katika mithali 30:27 inazungumza kwamba nzige hawana mfalme.

1. Hapa tunaona nzige wa kishetani waneye mfalme.

2. Malaika

A. Maelezo ya upekee, kutokana na “The” kwa kiingereza.

1. Wanemtii mfalme.

B. Bila shaka - Uf. 20:1-3.

1. Mwenye uwezo juu ya kuzimu.

3. Chini kabisa (Kuzimu)

A. Kuzimu Uf. 9:1, 11; 11:7; 17:8; 20:1-3.

1. Makazi ya shetani.

4. Abaddoni - Apollyon

A. Majina yote mawili yana maana ya muharibifu, Ay. 26:6; 28:22; 31:12; Zab.

88:11; Mith. 15:11; 27:20.

Sura 9 Mstari 12

1. Ole moja imepita

A. Maana yake kamilisho la Ole ya kwanza.

B. Kumbuka kwamba nyota ni shetani (Lk 10:18, Uf 12:9)

Mwenye kutoa moshi (maovu na mafundisho mabaya)

1. Nzige ni ishara ya uharibifu

2. Moshi huu haudhuru Kanisa - isipokuwa utawala wa KIRUMI.

50