Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Sura Ya Kwanza

Mstali wa Kwanza (1:1)

1. Ufunuo: “Apokalupsis” - Maana yake isiyofunikwa iliyowazi usizuie ukweli, Vines Uk. 974.

A. Kitabu hiki ni ufunuo wa Yesu kwa Yohana.

B. Ujumbe uliotolewa kwanza kwa Kristo na baba yake.

2. Watumwa

A. Watumishi ni waumini wa Kanisa ambao wamepelekewa ujumbe huu.

B. Ujumbe ume tufikia kwa mzunguko - Baba - Mwana - Roho Mtakatifu - Malaika -

Yohana - Watumishi.

3. Kuwako Upesi

A. Yaashiria mambo yaliyomuhimu yenye maadili mema kuja upesi. Kuna uharaka wa

kufanyika.

1. Mark. 1:15 na mwishoni mwa Ufu. 1:3. Akitumia maneno ya Kiyunani kuonyesha

kwamba muda ni tayari. Ufu. 22:6,10; Math. 16:21.

B. Muda mfupi, Maana yake upesi.

1. Neno ili liliandikwa katika tungo za kikirosti “aorist” kama alama ya tendo moja.

2. ENTACHEI, ni maneno ya kiyunani yakiwa na maana ya “ndani au katika,

kuondolewa kwa kazi upesi. Vines Uk. 923. Kamusi zingine za Kiyunani

zinaelezea kitu kile kile.

3. Maneno haya yanaonyesha utimilifu uliokaribu (Mdo. 25:4, Rom. 16:20; 1 Tim.

3:14; 2 Tim. 4:9).

C. Maneno ya Mungu yanayotuhusuhu tokana na nyakati.

1. Dan. 8:1, 14, 26 zamani ya wakati ujao baada ya siku nyingi. Siku nyingi

zipatazo miaka 386.

2. Kwa hiyo kwa maneno ya Mungu wenyewe kama miaka 386 ni siku nyingi hivyo

“upesi” haiwezekani kuwa zaidi ya miaka 386.

3. Ufun. 22:10, Dan. 12:4 - Kipindi kifupi hiki kilikuwa cha miaka karibu 400.

D. Wale wanaoshikiria kuwa haya mambo yatatokea zaidi ya mwaka 2000, madai yao

ni kwamba “muda mfupi nikuwa --------wakati wote.” Unaweza kuangalia tafsri

yoyote pasipokutafsiriwa namna hiyo.

4. Akamwonyesha Mtumwa:

A. Alionyeshwa kwa njia ya alama. Alifunua ujumbe wa Mungu kwa njia ya alama.

B. Lilikuwa na kusudi la Mungu kuwajulisha watu wake kwa njia ya ishara na maajabu.

Kama vile alivyofanya kwa Musa na kwa Gidioni. Hata Agano Jipya lilithibitika

kwa njia ya ishara na maajabu. Mark. 16:15-18; Ebr. 2:3-4.

C. Ishara zilitumika ili kuthibitisha.

5. Malaika

A. Wapeleka ujumbe.

1. Math. 11:10; Lk. 7:24, 9:52.

6. Yohana

A. Mtoto wa Zebadayo, mtume ambaye Yesu alimpende. Math. 4:21.

B. Mwandishi wa injili ya Yohana na Yohana wa 1-3.

Mstali Wa Pili (1:2)

1. Yohana ajishuhudia mwenyewe kama shahidi mwema, Mdo. 1:8-13, 21-22.

Mstali Wa Tatu (1:3)

6