Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Mstali 1

1. Malaika wa tano

A. Maana yake - tai.

B. Mwingiliano wa malaika wa tano - akapiga baragumu

1. Ole zimeanza (Mstali wa 1 ole ya kwanza 1-11).

2. Kuanguka kwa nyota

A. Hali yenyewe - imeanguka.

1. Wakati uliopita

B. Neno “NYOTA” inaonekana kumzungumzia shetani - Lk. 10:18, Ufu. 12:9.

1. Kana siyo shetani - pengine kuna maanisha kuwepo kwa upekee au mtu

au kitu fulani.

C. Uf. 22:16 inazungumzia nyota ya asubuhi inayong’aa:

1. Inaleta Nuru, ikiwa na funguo za mauti na kuzimu, Ufu. 1:18.

2. Hapa, ijapokuwa nyota iliyaonguka inazofunguo za kuzimu.

3. Angalia 2 Kor. 14:4 ambapo Shetani ni Mungu wa watu wabaya Ufu. 9:11 ambapo ni

mfalme wa nzige.

3. Akapewa ufunguo

A. Mmoja alimwezesha yeye kuwa na funguo.

B. Kwa kutumia ufunguo ule alileta maumivu juu ya nchi.

4. Shimo la kuzimu

A. Kuzimu 11:7

1. Makazi ya shetani - Uf. 20:1-3.

Mstali 2

1. Moshi

A. Mosi unatia giza na kuondoa nuru.

1. Ni ishara ya hali mbaya na mafundisho potofu.

2. Moshi utatia girea kiasi cha kutoona ukweli.

B. Ulimwengu unasumbuliwa na upofu wa kiroho.

1. Ukiletwa juu ya nchi kana adhabu.

2. Mungu akiadhibu wapagani kwa maovu yao “. . . akiwa toa juu . .”

Rum. 1:24-28.

3. Mataifa mengi waonesumbuliwa kwa sababu ya maovu yao na upofu wa kiroho - 2

Kor. 4:4, Kol. 1:12, 13.

A. Linganisha na Mw. 19:28, Kut. 10:21-23, 19:18, Mt. 13:42, 50.

Mstali 3

1. Nzige

A. Kutoka kitaka ule moshi wakatoka panzi na kuenea juu ya nchi, “Wuests fanuzi zaidi ya

Agano Jipya uk. 600.

B. Nzige ni wadudu wenye tamaa sana ya kula wanehusiana na panzi. Mateso

makubwa katika mashariki ya mbali. Barnes Agano Jipya Uk. 212.

1. Kwahiyo siyo Nzige halisi tazama Mst. 7-11.

2. Nguvu

A. Walipewa nguvu nyingi lakini zilikuwa na mipaka - Mst. 4.

B. Nguvu kama kuuma kwa nge.

3. Nge.

A. Kumb. 8:15; Ezek. 2:6, Lk. 10:19, 11:12.

B. Mnyama mdogo kama mnyama fulani wa habarini, mkie mlefu, mwisho ndimo mna sumu ile

inayodhumu maumivu, hali ya kuuma na madhera yako katika Uf. 9:3, 5, 10 Vines Uk. 1009.

1. Nguvu ya nge (nzige) ni maumivu kutokana na mambo ya giza au

(mambo maovu).

Mstali 4

1. Majani 8:7

A. Kwa kawaida panzi wanaharibu mimia.

48