08.06.2013 Views

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

a) Neno Mwanakondoo lililotumika katika Yoh. 21:15 na katika

kitabu cha Ufunuo linashughurika na sadaka zake, zikihitaji

ukuu heshima na mamlaka na nguvu.

b) Wakati neno Mwanakondoo linalopatikana mahali pengine

linasimamia sadaka zake.

c) Yohana alijua kwamba simba ni mwanakondoo aliye sikiwa

kwanza na Yohana mbatizaji, Yoh. 1:36.

3. Alikuwa kana kwamba amechinjwa.

A. Ilisimama, Kama ingekuwa mfu isingesimama.

1. Inakazia Ufufuo wa Yesu Kristo.

2. Hakuna Mapendezo juu ya kuonekana kana kwamba imechinjwa, Uf.

5:9.

4. Pembe saba:

A. Pembe zinasimamia uwezo au nguvu, Kumb. 33:17; 1 Waf. 22:1; Yer. 48:25; Zek. 1:18, Lk.

1:69.

1. Bila kusahau Mt. 28:18- 20.

B. Inashiria ukamilifu (7) nguvu au uwezo.

5. Macho saba

A. Roho takatifu zikiwa mbele - Yoh. 14:26, 16:13, Mdo. 2:33, 1 Kor. 12:6-11.

B. Inaonyesha Ukamilifu (7) ufahamu.

Mstali 7

1. Yeye

A. Kristo.

B. Kwanini Kristo aliweza?

1. Alikuwa wa kwanza kumshinda shetani, Ebr. 4:15.

2. Alikufa Kwaajili ya dhambi za watu, 2 Kor. 5:1.

3. Alifufuka kutoka wafu, Rum. 4:25.

4. Sasa akikaa mkono wa kuume na anasitahili na aneweza, Fil. 2:7-11.

2. Alichukua

A. Yesu alichukua kitabu kutoka kwa Mungu kikiwa na mapenzi ya Mungu.

Mstili 8

Kama vile Mungu baba alivyokuwa akiabudiwa ndani na nje ya kiti cha enzi katika 4:8-11, sasa katika 8-

14 katika sura hii tumeona ibada ya mbinguni ikiwa ni juu ya mwanakondoo.

1. Walianguka chini

A. Ishara ya kusujudu

B. Waliookolewa (4:4) na malaika 4:6-11) wamsujudia mwanakondoo.

2. Vyombo vya musiki.

A. Je, ndivyo ilivyo? Haidhuru!

1. Cha kujali ni kwamba haya maono yalitoka mbinguni, hakuna lolote la

kufanya juu ya kile kilichothibitishwa kuhusiana na ibada za dunia.

2. Tukijikita kwenye meno “vyombo,” Je, si vyema pia tukajikita na

kufungu hiki cha “kuanguka chini?”

a) Kama ndivyo sivyo, kwa nini sivyo?

B. Vyombo vifaa, vinashiria majisifu.

1. Hakuna kielezo, kama kuna uhalisi wa vifaa vile kutumika katika ibada

hapa duniani.

a) Kama upo, kwanini iwe ni vifaa tu?

3. Vitasa vya dhehabu vilivyojaa manukato.

A. Siyo maombi ya wazee, au wanyama isipokuwa watakatifu.

B. Kiwakilisho cha neno “uvumba” (manukato KJV) viko pamoja na haya

yafuatayo, Law. 16:12, 13: Zab. 141:12, Mdo. 10:4

1. Yalipelekwa kwa Mungu kama sehemu ya ibada.

2. Inaonyesha ni jinsi gani Mungu mkuu anavyokumbuka sale zetu.

34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!