Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
1. Tubu

A. Inafafanua mabadiliko ya mawazo kwa mtu au shabaha, mara nyingi kwenye Agano Jipya,

kuendelea kuboresha mabadiliko kuwa mazuri, wakati wote isipokuwa katika Lk.

17:3,4 kwamba toba toka kwenye dhambi Vines Ukurasa 961-962.

2. Naja

A. Kumbuka ujaribu kufaham jinsi ambavyo neno limetumika kwenye kifungu.

B. Naja, hapa inaeleza hukumu katika kanisa la pergamo kama hawahitaji kujisalihisha.

3. Upanga

A. Walitumia upanga kwa matumizi gani?

1. Vita, hukumu.

2. Katika tamathari za semi, ni kama - kifaa cha kufunulia. Luka 2:35, kwa hukumu

Uf. 1:16, 2:12, 16, 19:15, 21 Ki-umbo ni kama kuonyesha matamko ya haki

ya Bwana, Vines Uk. 1123.

a) Matamko hayo ndiyo yangeleta chini hukumu ya Mungu.

MSTARI WA 17

1. Roho

A. Angalia maelezo katika 1:4; 2:7.

B. Kusikia ni sawa na kupokea, kutii Yakobo 1:22.

2. Kushinda

A. Kushinda njia za uovu.

B. 2:26; 12:11.

C. Kupiga, kushinda, kuzuia, kupata ushindi - Strong’s Greek Dictionary of N.T. Uk. 50.

3. Mana iliyofichwa

A. Kama vile Mungu alivyotoa mana kwa Israel wa Kimwili (Kut. 16:32-34), hapa anatoa mana

iliyofichwa kwa Israel wa kiroho.

1. Wengine waliwekwa gizani Heb. 9:4.

2. Hii mana iliyofichwa ni Yesu (Yoh. 6:31-38, 48-51).

3. Neno Iliyofichwa hapa inamaanisha isiyoonekana.

4. Ushindi utapalikana kwa nguvu isiyoonekana.

4. Jiwe Jeupe

A. Wapergama walijiingiza kwenye madini ya mawe meupe kwenye matumizi kama zao la

biashara.

B. Matumizi ya kipande cha jiwe hili na jina lake vina thamani.

1. Liatolewa kwa mtu aliyejaribu bila mafanikio.

a) Jiwe leusi anapewe mtu aliyahukumiwa kosa.

2. Linatolewa kwa mtu amekuwa huru toka utumwani na anapewa uraia Rum.6

untakaso.

3. Linatolewa kwa Mshindi kuonyesha kuwa ameshinda upinzani.

4. Linatolewa kwa maasikari kuonyesha ameshinda upinzani.

a) Yaweke yote haya pamoja nani? Mkristo!

5. Jina Jipya

A. Linaongelea kuhusu jina Mkristo.

1. Lilikuwa limewahi kutolewa (Mdo. 11:26, Isa. 62:1-5).

2. Jina Mkristo limetolewa kutokana na suala la utiifu na sio ushindi.

B. Wengine wanaamini kwamba Uf. 3:12 inaelezea hilo.

C. Inaonekaa kwamba maneno ya Jipya “Jina Jipya” yanamaanisha uhusiano ambao mwana wa

Mungu anaupata baada ya kushinda.

1. Kwa vyo vyote iwavyo ni yule ambaye ameshinda ndiye atakayelimiliki na

kulielewa.

MSTARI 18

1. Thiatira

Ujumbe Kwa Thiatira

Mstari 18-29

Shika Sana Hata Ajapo

18