Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Ufunuo - kanisalakristo
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
A. Muda au nafasi ya kujisahihisha matendo yake lakini ameshindwa kufanya hivyo.

MSTARI WA 22

1. Kitanda

A. Kuwa mgonjwa na kulazwa kitandani wamevuna walichokipanda.

1. Sehemu ya dhambi pia ni sehemu ya adhabu.

2. Kitanda kinamaanisha adhabu.

a) Angalia: Dhiki.

2. Kufanya Uzinzi

A. Pengine inahusisha uzinzi wa kiroho

1. Uzinzi wa Kiroho unatekana na ibada ya sanam kama ilivyokuwa Israel ya zamani

katika Yer. 3:9, Eze. 16:32.

3. Pamoja Naye

A. Wote wenye makosa yanayoleta mgawanyiko wataadhibiwa pamoja na wale wanaoshiriki

katika dhambi hiyo.

4. Dhiki

A. Wote wataadhibiwa kwa matendo yao.

1. 2 Cor. 5:10.

5. Isipokuwa wakitubu

A. Toba ingebadilisha hali yote hiyo. Angalia Maelezo mstari 16.

MSTARI WA 23

1. Kuwaua watoto wake kwa mauti.

A. Kwa kuwa ameshindwa kutubu ategemee adhabu.

B. Ndio kusema, “watauawa kwa mauti”

1. Kwa maneno mengine, “kuwaangamiza toka uso wa dunia.”

2. Chini ya sheria waliadhibiwaje?

a) Mauti (Walawi 20:10)

3. Labda kusema kuwa kifo cha kimwili kingekuja kwa mapigo, njaa ama upanga.

C. Watoto watakuwa wake ibilisii (Yoh. 8:44, Isa 57:3)

2. Makanisa yote watajua.

A. Kwa nini?

1. Angalia Mdo 5:11.

a) Uongo - Math. 10:28; Zab. 111:10.

2. Makanisa yote wataona na kujua hayo yalikuwa yatokee haraka.

3. Viuno na Mioyo

A. Inahusu mawazo ya ndani ya mtu.

1. Inamaana hakuna kitu kizuri au kibaya kiwezacho kufichwa kwa Mungu Ebr. 4:13.

4. Matendo

A. Mt. 16:27; Rum. 2:6, 2 Cor. 5:10, Uf. 20:13, Rom. 14:12, Yakobo 2:17.

MSTARI WA 25

1. Shika Sana

A. Shika sana nini?

1. Injili, upendo, imani, huduma na uvumilivu.

2. Mpaka Nitakapokuja

A. Shika, tunza imani, nitakuwepo miaka miwili au miaka elfu tatu hapana!

1. Kuja kungekuwa “Mkononi” Karibuni 1:3.

MSTARI WA 26

1. Hata Mwisho

A. Mpaka mwisho ni lazima wakae hivyo hivyo.

2. Mamlaka Juu ya Mataiifa

A. Imeelezwa Mstari 27.

20