08.06.2013 Views

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

Ufunuo - kanisalakristo

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

2. Jua

Mstali 17

B. Baraka za mwisho kwa waaminifu Uf. 21:3-5

A. Ulinzi au kinga kutokana na madhara.

1. Kwa Mwana Kondoo

A. Kwa mkwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atawachunga.

B. Mungu atawaangalia na kuwachunga, Yoh. 4:10, 14.

1. Hawataona kiu kamwe kwakuwa mchungaji atawaongoza kwenye

chemichemi za maji, Zab. 23:2 chemichemi za maji ya uzima.

2. Hawataona njaa kwa sababu mehungaji atawalaza katika malisho ya

majani mabichi - Zab. 23:2.

3. Jua halitawachoma kwakuwa mchungaji atawapa kuvuli.

C. Yote yanakusanyika katika swala zima juu ya ulinzi na hali ya mafanikio mema

Isa.25:8; 40:l1; 49:8-10; Zab. 121:5, 6.

Sura ya 8

8:1- 9:21

Sura ya 8 ni jibu la maombi na sara za Wakrito zinazopatikana katika sura ya 6:10 waliteswa na

kumwomba Mungu atoe hukumu kwa watesi wao. Hukumu hii ni matokeo ya maombi na sara zao.

Mstari 8:l - 11:10 (Mwendelezo wa kufungaliwa kwa muhuri ya saba.)

1. Ukimya;

A. “Kimya” hali halisi pasipo kutoa sauti.

B. Zak. 2:8-13 jawabu laule ukimya.

1. Ulimwengu wote unaaswa kuwa kimya kamavire anakuja kuhukumu.

2. Ona pia Zak. 1:7-12, Hab. 2:20.

3. Wakati Mungu anaongea watu wanapasura kuwa kimya.

2. Nusu saa.

A. Siyo kweli nusu saa lakini ni kipindi cha muda fulani.

B. Utulivu kabla ya sauti ngurumo kama ujio wa tukio

1. Kuchelewa kwa hukumu Uf. 10:6.

Mstali 2

1. Malaika Saba.

A. Malaika saba wenye baragumu saba.

2. Baragumu saba.

A. Hajulikani waliwapewa na nani.

1. Pengine na Mungu au kwa mamka yake.

B. Hukumu inakuja kamainavyoelezeka na neno “baragumu.’’

C. Hesa 10:1-10, kuna matumizi ya aina nne kuhusu barangumu.

1. Kuita mkusnyiko - mst. 2.

2. Kusafiri kwa makambi - mst. 2.

3. Kupigana vita- mst. 9

4. Piga mayowe mst. 9.

D. Yoel. 2:1 -3, Sef. 11:4 -8, Yer. 4:5 - 9, Am.3:6 ili kupata maagizoya msingi.

Mstali 3

1. Malaika mwingine akasimama mbeke ya madhabahu.

A. Madhabahu iliyojaa uvumba.

44

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!